Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Haha superstition. SO you're superstitious? Unaamini ukila albino unatajirika?Hahahahahaaaa
Wewe ulikuwepo kwani karne ya 13 mpaka useme hivyo?
Unaweza ukanipa proof huyo RM alikua anawatembelea?
NIshakuambia hakuna tofauti ya superstition na hayo mambo yenu!
Its funny unaongelea spooky god!
So lame!
Ukristo ni mojawapo wa maelfu ya dini mbalimbali zilizopo hapa duniani kwa sasa!The only true religion is Christianity. Jesus died and rose again.
Unaona hii ndio hatari ya dini!Islam, Mohammed never resurrected and in his book the Koran he instructed Muslims to kill all non-muslims
Unazidi kujenga chuki kwa kujigeuza victims.....Dini ni violence,na hii ni proven kwa hizi lawama unazitoa hapa!What's written in the book (bible about prosecution of Christians is evident now.
Unaongea tu sababu tayari matukio yalishatokea hivyo sentensi yako ni non consequential.I would be an atheist if there was no Christianity.
Yeah,a nigga with zero belief on any form of a deityAre you an atheist??
Watanzania inawahusu nini? Kuiba waibe Wakenya uwajumuishe na Tanzania?Hawa watu hawana uungwana wampokewa na na Kenya na kupewa Makambi Sasa Angalia na bado hawa Watu Wataitesa Afrika ya Mashariki.
Ewe Mtanzania Ewe Mkenya Balaa linakuja.
Haha superstition. SO you're superstitious? Unaamini ukila albino unatajirika?
Kenya haiwahifadhi Wasomali, ardhi ya Somalia kubwa ipo ndani ya kenya. Wasomali ni moja ya Makabila ya Kenya. Zaidi ya 20% ya Wakenya ni Wasomali na wapo wengi wasomi walioshika nyadhifa nyingi za juu Serikalini Licha ya kuhodhi biashara kubwa kubwa.Hawajafanya vizuri mbona kenya inawahifazi wa somali wenginzaidi eti tena illegal tu na bado wanawafanyia ukorofi lkn wao wa somaki wana wafukuza hao 27 tu kweli jaman LDC citizens are expelled like trush ?
Hawa watu hawana uungwana wampokewa na na Kenya na kupewa Makambi Sasa Angalia na bado hawa Watu Wataitesa Afrika ya Mashariki.
Ewe Mtanzania Ewe Mkenya Balaa linakuja.
Good day my friend!Mimi siamini uchawi wa aina yoyote!
Siamini Mungu wa aina yoyote!
Superstitions ni maigizo na rituals za kipumbavu!
Its like actors with no movie roles!
Dini na superstitions ni the same,difference ni labda muda wa kufanya hizo acting routines.Dini mnafanya mchana na supertitions wanafanya mostly usiku!
Maigizo kama kubatiza,kula kipande cha mkate,kunywa mvinyo wa divai,kufukizwa kwa ubani,etc ni upumbavu wa hali ya juu kabisa,na ni vichaa tu ndio wanaweza fanya hayo.
Kumwagia mtu maji mara tatu eti umembatiza na kumuondolea dhambi sijui kuna uhusiano gani kati ya water as a liquid na moyo wa mtu na matendo yake?
Ni vichaa tu wanaoweza sema kipande cha mkate wa unga wa ngano ni mwili wa Mungu na pombe ya wine ni damu ya Mungu,sijui kumetokea chemical conversions gani ya high level namna hiyo na kuamini kabisa it is true!
Religious people can do savage things with easy like lunatics!
Wasalimie sana Nyeri huko!Good day my friend!
Sitoki nyeri Mimi.Wasalimie sana Nyeri huko!
Kuna mtoto mmoja mzuri sana wa Ukambani anaitwa Kamene Goro,aisee I will kill myself just to hit that!
I hate my life now!
.since you believe there is no God or super natural forces...can you tell us how the universe came to existence?Mimi siamini uchawi wa aina yoyote!
Siamini Mungu wa aina yoyote!
Superstitions ni maigizo na rituals za kipumbavu!
Its like actors with no movie roles!
Dini na superstitions ni the same,difference ni labda muda wa kufanya hizo acting routines.Dini mnafanya mchana na supertitions wanafanya mostly usiku!
Maigizo kama kubatiza,kula kipande cha mkate,kunywa mvinyo wa divai,kufukizwa kwa ubani,etc ni upumbavu wa hali ya juu kabisa,na ni vichaa tu ndio wanaweza fanya hayo.
Kumwagia mtu maji mara tatu eti umembatiza na kumuondolea dhambi sijui kuna uhusiano gani kati ya water as a liquid na moyo wa mtu na matendo yake?
Ni vichaa tu wanaoweza sema kipande cha mkate wa unga wa ngano ni mwili wa Mungu na pombe ya wine ni damu ya Mungu,sijui kumetokea chemical conversions gani ya high level namna hiyo na kuamini kabisa it is true!
Religious people can do savage things with easy like lunatics!
Wasomali mchana ni Raia wema Usiku ni Alshababu.Kenya haiwahifadhi Wasomali, ardhi ya Somalia kubwa ipo ndani ya kenya. Wasomali ni moja ya Makabila ya Kenya. Zaidi ya 20% ya Wakenya ni Wasomali na wapo wengi wasomi walioshika nyadhifa nyingi za juu Serikalini Licha ya kuhodhi biashara kubwa kubwa.
Hawa Somalia inatakiwa waende Pakistan kujifunza how wataitumia al shabab kulazimisha kdf iondoke SomaliaWanajeshi wa kenya wanawauwa sana raia wa somalia wasio na hatia, ukweli ni kwamba kenya haipo somalia kupambana na alshababu bali wapo huko kulinda maslai yake, kuna mapipa ya mafuta yapo baharini ndiyo kenye wanayalinda huko kupitia mgongo wa kupambana na al shabab, kenya ondoeni majeshi yenu huko somalia...
Kenya haiwahifadhi Wasomali, ardhi ya Somalia kubwa ipo ndani ya kenya. Wasomali ni moja ya Makabila ya Kenya. Zaidi ya 20% ya Wakenya ni Wasomali na wapo wengi wasomi walioshika nyadhifa nyingi za juu Serikalini Licha ya kuhodhi biashara kubwa kubwa.
Sitoki nyeri Mimi.
btw ,Ruge mtuhubu ni nani?
.since you believe there is no God or super natural forces...can you tell us how the universe came to existence?
Natoka central.Unatoka West Province nini?
Ruge Mutahaba alikua media owner na alifanya biashara ya muziki wa Bongo Flava!
Anamiliki radio station,tv station,digital media company na mpenzi mkubwa wa serikali ya CCM na looters wote!
Amekufa juzi,watu ndio wanajifanya kulia kinafiki!
Exactly. Na hao Wasomali wa kwenye hiyo ardhi ni Wakenya wenye asili ya Kisomali.we mbona unagonganisha lugha, ukishasema somali ni kabila ndani ya kenya maana yake hiyo nchi ya kenya bila kujali asili yao ni somalia,...