kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
Katika mkutano wa Rais Mtarajiwa Tundu Lissu polisi walifika eneo la mkutano na kuanza kuwatawanya watu kwa kutumia mabomu hata hivyo kwa kuwa Lissu ni kiongozi Wala si mtawala aliamuru watu waondoke lakini hata hivyo wanasomanga hawakusita kuimba nyimbo za ushindi kama video inavyoonekana hapo chini Rais Rais Rais.