Uchaguzi 2020 Somanga: Mkutano wa Tundu Lissu wapigwa mabomu ili kutawanya watu

Uchaguzi 2020 Somanga: Mkutano wa Tundu Lissu wapigwa mabomu ili kutawanya watu

Mungu hapendi mashoga.
Papa, Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Katholiki duniani amebariki ushoga, anasema watu wawe huru kuishi wanavyopenda. Magufuli ni muumini wa Kanisa Katholiki, je Tanzania itajitoa katika Ukatoliki?

Pope endorses civil unions.jpeg
 
Hapo nilitegemea watamzunguka kumkinga! Matokeo yake, karibia wooote wakamkimbia, na kumwacha na msaidizi mmoja jasiri.
Sijashangaa, hata Bwana Yesu mfwasi wake KINDAKINDAKI, kwa usalama wa maisha yake, alimkana!

Wamzunguke ili nini, Lissu ni shujaa hata risasi zinamtii!
 
Katika mkutano wa Rais Mtarajiwa Tundu Lissu polisi walifika eneo la mkutano na kuanza kuwatawanya watu kwa kutumia mabomu hata hivyo kwa kuwa Lissu ni kiongozi Wala si mtawala aliamuru watu waondoke lakini hata hivyo wanasomanga hawakusita kuimba nyimbo za ushindi kama video inavyoonekana hapo chini Rais Rais Rais.
Anapendeza kwenye kivazi cha kiislam. Bora Ponda amsilimishe kabisa.
 
Tupo kwenye utawala wa kipumbavu sana

Wanajaribu kuona reaction ya watu ili waone watakavyowathibuti tarehe 28.

Wajaribu waone mziki wake yaani tutachoma magari na vituo vya police vyote wakileta uchokozi....
Wapumbaf sana nyinyi..kwani nyie magari hamna sasa mtayazuiaje yasichomwe pia..kwanza mko wachache Sana msithibutu
 
Tupo kwenye utawala wa kipumbavu sana

Wanajaribu kuona reaction ya watu ili waone watakavyowathibuti tarehe 28.

Wajaribu waone mziki wake yaani tutachoma magari na vituo vya police vyote wakileta uchokozi....
Kenge wa Mabaka wewe! Unasemaje vilee??
 
Back
Top Bottom