Uchaguzi 2020 Somanga: Mkutano wa Tundu Lissu wapigwa mabomu ili kutawanya watu

We jamaa una ujinga mwingi sana.police wameenda kujichekesha Kwa lisu.sababu wanajua walilolifanya ni kosa. Ndiyo maana unabaki kusema watu wamekimbia.lakini usemi sababu ya kupigwa watu mabomu. Usingekuwa zezeta ungelaumu polisi KUUMIZA watu bila sababu
 
Mteule wa Mungu huyo na huku ni kuongezea watu hasira.

Kitachofuata ni maigizo ya Polichi na NEKI kutupiana lawama wakati lao moja.
Kuna Bwana amekacha kufanya kampeni mikoa ya Kusini, sasa Bwana huyo anaona mwenzie akienda huko na yeye haendi basi atachukua kura.
 
Tupo kwenye utawala wa kipumbavu sana

Wanajaribu kuona reaction ya watu ili waone watakavyowathibuti tarehe 28.

Wajaribu waone mziki wake yaani tutachoma magari na vituo vya police vyote wakileta uchokozi....
Ndio Unavyo Jidanganya Anza ukione
Unajificha na ID Fake kuropoka Upumbavu
 
Samia aliposimama Kinambeu alikuwa na ratiba ya kusimama pale..
Usifananishe na Samia ndio maana waliompiga TAL hawajapatikana ila waliomuua yule kiongozi wa vijana Njombe wamepatikana tena kwa kubambikizwa kesi.

Rai yangu Lissu asijii gize na mutafaruku na Vyombo vya usalama kwa usalama wa wapiga kura wake
 
Tupo kwenye utawala wa kipumbavu sana

Wanajaribu kuona reaction ya watu ili waone watakavyowathibuti tarehe 28.

Wajaribu waone mziki wake yaani tutachoma magari na vituo vya police vyote wakileta uchokozi....
Utachoma kwa blue tooth ukiwa nyuma ya keyboard sio?
 
Habr jf
Kuna clip inazunguka kwenye mitandao yote ya kijamii saiv inamwonyesha mgombea urais kupitia chama cha CHADEMA akihutubia mkutano huko kilwa, baada mkutano unavamiwa na poris na kupigwa mabomu ya machozi,, ajabu wananch wanasambaa porisi wanamfuata tundu lisu na wanaonekana kucheka pamoja kama vile wanafurahia kilichotokea

My take,, vijana tusitumike hawa jamaa wanajuana vzur sana na divyo itakavyokuwa baada ya uchanguzView attachment 1609677
We ni k tu ukiwa kiongoz bora hutakiwi kupaniki ovyo msenjee wew ulitaka asicheke anune apate presha kam jiwe
 
Katika mkutano wa Rais Mtarajiwa Tundu Lissu polisi walifika eneo la mkutano na kuanza kuwatawanya watu kwa kutumia mabomu hata hivyo kwa kuwa Lissu ni kiongozi Wala si mtawala aliamuru watu waondoke lakini hata hivyo wanasomanga hawakusita kuimba nyimbo za ushindi kama video inavyoonekana hapo chini Rais Rais Rais.
Ila polisi wetu hawana weledi kweli,!! ,mnapiga wananchi kweli!!
 
Mteule wa Mungu huyo na huku ni kuongezea watu hasira.

Kitachofuata ni maigizo ya Polichi na NEKI kutupiana lawama wakati lao moja.
Ila huyu mzee ajitafakari wakati anapokea inchi alikuta mambo hayo huyu jamaa inawezekana anataka kuchukua muda mrefu madarakani
 
Kuna vitu vingine ni ujinga tu, hao wamepigwa mabomu hakuna reaction yoyote, wagombea wamekatwa hakuna reaction yoyote, mawakala hawajaapishwa hakuna reaction yoyote, mgombea uraisi kafungiwa hakuna reaction yoyote. Leo uje useme mnasubiri tarehe 28? Nyie ni wajinga mliopitiliza na mliojificha nyuma ya keyboard
Tupo kwenye utawala wa kipumbavu sana

Wanajaribu kuona reaction ya watu ili waone watakavyowathibuti tarehe 28.

Wajaribu waone mziki wake yaani tutachoma magari na vituo vya police vyote wakileta uchokozi....
 
Usifananishe na Samia ndio maana waliompiga TAL hawajapatikana ila waliomuua yule kiongozi wa vijana Njombe wamepatikana tena kwa kubambikizwa kesi.

Rai yangu Lissu asijii gize na mutafaruku na Vyombo vya usalama kwa usalama wa wapiga kura wake
HAPO NDO PENYE TATIZO... Na kwa bahati mbaya wengine mnaona hilo ni sawa
 
Tupo kwenye utawala wa kipumbavu sana

Wanajaribu kuona reaction ya watu ili waone watakavyowathibuti tarehe 28.

Wajaribu waone mziki wake yaani tutachoma magari na vituo vya police vyote wakileta uchokozi....
😇😇😇😷
 
Habr jf
Kuna clip inazunguka kwenye mitandao yote ya kijamii saiv inamwonyesha mgombea urais kupitia chama cha CHADEMA akihutubia mkutano huko kilwa, baada mkutano unavamiwa na poris na kupigwa mabomu ya machozi,, ajabu wananch wanasambaa porisi wanamfuata tundu lisu na wanaonekana kucheka pamoja kama vile wanafurahia kilichotokea

My take,, vijana tusitumike hawa jamaa wanajuana vzur sana na divyo itakavyokuwa baada ya uchanguzView attachment 1609677
Umetumwa wewe!
 
Back
Top Bottom