Uchaguzi 2020 Somanga: Mkutano wa Tundu Lissu wapigwa mabomu ili kutawanya watu

Uchaguzi 2020 Somanga: Mkutano wa Tundu Lissu wapigwa mabomu ili kutawanya watu

..safari ya kwanza walimfungia siku 7 na hicho ndicho kilikuwa kipindi afanye mikutano ya kampeni mikoa ya kusini.

..safari hii ameruhusiwa kufanya kampeni lakini polisi wanapiga MABOMU wananchi waliojitokeza kumsikiliza.
 
Hapa CDM wamesimama kimakosa wamekuwa na ratiba ndefu Leo wanasimama sehemu amapo hakukuwa na ratiba
ishu sio ratiba huu ni msimu wa kampeni pale panapoonekana pana fursa ya kuomba kura kama mgombea ana haki ya kuzungumza na wapiga kura kuwaomba wamchague. suala la ratiba ni utaratibu tu ili kuzuia wagombea kuingiliana sasa kama palikuwa hakuna mgombea mwingine ana kampeni hapo somanga sizani kama ilikuwa kuna tatizo yeye kuwa hapo kuomba kampeni.Mambo mengine ni busara tu kutumika ilikuwa haina haja ya kuzuia mkutano
 
Katika mkutano wa Rais Mtarajiwa Tundu Lissu polisi walifika eneo la mkutano na kuanza kuwatawanya watu kwa kutumia mabomu hata hivyo kwa kuwa Lissu ni kiongozi Wala si mtawala aliamuru watu waondoke lakini hata hivyo wanasomanga hawakusita kuimba nyimbo za ushindi kama video inavyoonekana hapo chini Rais Rais Rai

Katika mkutano wa Rais Mtarajiwa Tundu Lissu polisi walifika eneo la mkutano na kuanza kuwatawanya watu kwa kutumia mabomu hata hivyo kwa kuwa Lissu ni kiongozi Wala si mtawala aliamuru watu waondoke lakini hata hivyo wanasomanga hawakusita kuimba nyimbo za ushindi kama video inavyoonekana hapo chini Rais Rais Rais.
Lissu si wa mchezo kaisha watoa watu woga,
 
Ajabu pamoja nakupigwa mabomu lakn wanaonekana lisu na police wanakutana wanacheka pamoja.. Hiv ndiv itavyokuwa siku ya uchaguz,, wanaoumia niwengne na wengne wanakutana wanagonga chearz!!
 
Tupo kwenye utawala wa kipumbavu sana

Wanajaribu kuona reaction ya watu ili waone watakavyowathibuti tarehe 28.

Wajaribu waone mziki wake yaani tutachoma magari na vituo vya police vyote wakileta uchokozi....
Wewe acha mikwara mbuzi, mimi peke yangu ntakuja kukudhibiti na kukata masikio hayo
 
Ufunuo 22:10-11

"Akaniambia, usiyatie muhuri maneno ya unabii yaliyomo katika kitabu hiki, maana wakati wa kutimizwa kwake umekaribia. Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu, na aliye mchafu aendelee kuwa mchafu, mwenye haki na azidi kutenda haki, na aliye mtakatifu na azidi kutakaswa”

[emoji120]
 
Tupo kwenye utawala wa kipumbavu sana

Wanajaribu kuona reaction ya watu ili waone watakavyowathibuti tarehe 28.

Wajaribu waone mziki wake yaani tutachoma magari na vituo vya police vyote wakileta uchokozi....
Kupita kiasi
 
Katika mkutano wa Rais Mtarajiwa Tundu Lissu polisi walifika eneo la mkutano na kuanza kuwatawanya watu kwa kutumia mabomu hata hivyo kwa kuwa Lissu ni kiongozi Wala si mtawala aliamuru watu waondoke lakini hata hivyo wanasomanga hawakusita kuimba nyimbo za ushindi kama video inavyoonekana hapo chini Rais Rais Rais.
Petrol zina wahusu hiyo siku
 
Kusini ameshindwa kwenda kutokana na maovu yake sasa anataka wengine wasiende.
Katika mkutano wa Rais Mtarajiwa Tundu Lissu polisi walifika eneo la mkutano na kuanza kuwatawanya watu kwa kutumia mabomu hata hivyo kwa kuwa Lissu ni kiongozi Wala si mtawala aliamuru watu waondoke lakini hata hivyo wanasomanga hawakusita kuimba nyimbo za ushindi kama video inavyoonekana hapo chini Rais Rais Rais.
 
Habr jf
Kuna clip inazunguka kwenye mitandao yote ya kijamii saiv inamwonyesha mgombea urais kupitia chama cha CHADEMA akihutubia mkutano huko kilwa, baada mkutano unavamiwa na poris na kupigwa mabomu ya machozi,, ajabu wananch wanasambaa porisi wanamfuata tundu lisu na wanaonekana kucheka pamoja kama vile wanafurahia kilichotokea

My take,, vijana tusitumike hawa jamaa wanajuana vzur sana na divyo itakavyokuwa baada ya uchanguz
 
Attachments

  • Wa8AuRqPfWMGFKIm.mp4
    3.4 MB
  • Wa8AuRqPfWMGFKIm.mp4
    3.4 MB
Back
Top Bottom