Uchaguzi 2020 Somanga: Mkutano wa Tundu Lissu wapigwa mabomu ili kutawanya watu

Uchaguzi 2020 Somanga: Mkutano wa Tundu Lissu wapigwa mabomu ili kutawanya watu

Tupo kwenye utawala wa kipumbavu sana

Wanajaribu kuona reaction ya watu ili waone watakavyowathibuti tarehe 28.

Wajaribu waone mziki wake yaani tutachoma magari na vituo vya police vyote wakileta uchokozi....
Leo Arusha ndiyo wametia aibu ya mwaka kwa kufunga shule na kuwaamuru wanafunzi woote kuvaa nguo za nyumbani ili waende kuujaza uwanja wa sheikh Amri Abeid
 
Tupo kwenye utawala wa kipumbavu sana

Wanajaribu kuona reaction ya watu ili waone watakavyowathibuti tarehe 28.

Wajaribu waone mziki wake yaani tutachoma magari na vituo vya police vyote wakileta uchokozi....

Kitu chochote kinacho husiana na Serikali kitakuwa ni halali yetu kwa Sababu tumenunua kwa Kodi zetu ,wew waache tu wachochee Moto.
 
Sababu ya mabomu na bunduki nini wakati nchi iko kwenye kampeni?

Haya mwkada ya CCM yanajua mitano tena ,hayajui mambo ya Uchaguzi Huru na wa Haki ndio Sababu wana tumia nguvu hata pasipo hitaji nguvu.
 
Nimejifunza jambo
. Polisi wetu hawana tatizo na TAL,ila wanamfurahisha mtu fulani. Kuna jambo waliongea na Lissu,wakatabasamu wote
.Kuna kura nyingi za TAL kutoka kwa wanausalama
.Huyo askari aliyeongea jambo lililomfurahisha TAL atashushwa cheo/RPC wa mkoa husika atahamishiwa HQ
.Ongezea ulichoona/jifunza
 
Nimejifunza jambo
. Polisi wetu hawana tatizo na TAL,ila wanamfurahisha mtu fulani. Kuna jambo waliongea na Lissu,wakatabasamu wote
.Kuna kura nyingi za TAL kutoka kwa wanausalama
.Ongezea ulichoona/jifunza
Wewe ndio Rais wetu tulia wala usijali(Nahisi polisi yule alimwambia hivyo)
 
Polisi kitu hawajajua ni kua watu wakichoka wakaanza kutumia nguvu nchi itachafuka vibaya mno na hakuna kitu polisi wataweza kufanya, huwezi shindana na nguvu ya uma, hakuna mtu hata moja aliyeshinda toka dunia ianze. Watu wakikasirika wamekasirika, wawe makini sana kila kitu kina limit yake hatutaki watu wafe
 
Mbona wagombea wote wamekuwa wakisimama?
Shida sio wagombea wote kusimama shida ni Mazingira yanaonekana sio rafiki na CHADEMA mbele ya Vyombo vya dola.

Ndii maana mengine nasema CDM wanapote a muda bila sababu, angepita na gari wasingemzuia
 
KUSIMAMA SIYO TATIZO TATIZO NI KWAMBA NANI ALIKUWA NA RATIBA YA HAPO,JE KULIKUWA NA MGOMBEA YEYOTE WA RATIBA YA HAPO
Najua si tatizo kwa Sasa CDM wajiepushe na matukio yasio ya lazima ambayo mengine yatapelekea wapiga kura kuwa ndani au majeruhi siku ya kupiga kura
 
Back
Top Bottom