Uchaguzi 2020 Somanga: Mkutano wa Tundu Lissu wapigwa mabomu ili kutawanya watu

Uchaguzi 2020 Somanga: Mkutano wa Tundu Lissu wapigwa mabomu ili kutawanya watu

Ajabu pamoja nakupigwa mabomu lakn wanaonekana lisu na police wanakutana wanacheka pamoja.. Hiv ndiv itavyokuwa siku ya uchaguz,, wanaoumia niwengne na wengne wanakutana wanagonga chearz!!
..polisi alikuwa anafurahia kuvuruga mkutano wa TL.

..na alikuwa anamcheka TL kwa hujuma aliyomfanyia.

..sasa hapo ndipo utakapojua kuwa Polisi wetu wamepungukiwa utu.
 
Tundu Lissu anawatisha kama Ukoma. Nilijua watamgusa Lissu. Wamelegea.
Katika mkutano wa Rais Mtarajiwa Tundu Lissu polisi walifika eneo la mkutano na kuanza kuwatawanya watu kwa kutumia mabomu hata hivyo kwa kuwa Lissu ni kiongozi Wala si mtawala aliamuru watu waondoke lakini hata hivyo wanasomanga hawakusita kuimba nyimbo za ushindi kama video inavyoonekana hapo chini Rais Rais Rais.
 
Habr jf
Kuna clip inazunguka kwenye mitandao yote ya kijamii saiv inamwonyesha mgombea urais kupitia chama cha CHADEMA akihutubia mkutano huko kilwa, baada mkutano unavamiwa na poris na kupigwa mabomu ya machozi,, ajabu wananch wanasambaa porisi wanamfuata tundu lisu na wanaonekana kucheka pamoja kama vile wanafurahia kilichotokea

My take,, vijana tusitumike hawa jamaa wanajuana vzur sana na divyo itakavyokuwa baada ya uchanguzView attachment 1609677
We can't vote for corpses Ccm again
 
Utawala uliofitinika endeleeni kutukazia kura,na kuamsha molali wa kuwamwaga viziri kesho kutwa tumalizane na utawala wa mabavu usiozingatia uhuru wala haki za raia wake.
Swadakta!
 
Utawala uliofitinika endeleeni kutukazia kura,na kuamsha molali wa kuwamwaga viziri kesho kutwa tumalizane na utawala wa mabavu usiozingatia uhuru wala haki za raia wake.
MABEBERU wanatuangalia tu tunavyonyimana haki! Wanathibitisha kilio cha Wapinzani kutokutendewa haki!
 
Kwahiyo mpo barabarani mmekinukisha?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu Kama kitu kidogo tu Basi barabarani watu ,itakua Sasa ni utani, hata hivyo binafsi sipendi sikia watu wmeingia barabarani na mungu hatuepushe ,ila Sasa fanyeni mchezo mtaona ,leo so unaona mabom yanapigwa watu hawaendi zaidi ya meter Mia wakati zamani bom moja watu wako km 200, leo yamepigwa mangapi? Watu wapo tu na bado wamemsindikiza ,
 
Vipi yule msela wa kidumu cha petroli hajaenda kulipiza
 
Tupo kwenye utawala wa kipumbavu sana

Wanajaribu kuona reaction ya watu ili waone watakavyowathibuti tarehe 28.

Wajaribu waone mziki wake yaani tutachoma magari na vituo vya police vyote wakileta uchokozi....
Kwa jinsi walivyoondoka hapo unaona kuna wakuchoma kituo hapo?
 
Katika mkutano wa Rais Mtarajiwa Tundu Lissu polisi walifika eneo la mkutano na kuanza kuwatawanya watu kwa kutumia mabomu hata hivyo kwa kuwa Lissu ni kiongozi Wala si mtawala aliamuru watu waondoke lakini hata hivyo wanasomanga hawakusita kuimba nyimbo za ushindi kama video inavyoonekana hapo chini Rais Rais Rais.
Hawa masisiyemu hakika yatahukumiwa na Mungu tu
 
Tupo kwenye utawala wa kipumbavu sana

Wanajaribu kuona reaction ya watu ili waone watakavyowathibuti tarehe 28.

Wajaribu waone mziki wake yaani tutachoma magari na vituo vya police vyote wakileta uchokozi....
Utajaribu uone
 
Back
Top Bottom