Papa, Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Katholiki duniani amebariki ushoga, anasema watu wawe huru kuishi wanavyopenda. Magufuli ni muumini wa Kanisa Katholiki, je Tanzania itajitoa katika Ukatoliki?Mungu hapendi mashoga.
Hapo nilitegemea watamzunguka kumkinga! Matokeo yake, karibia wooote wakamkimbia, na kumwacha na msaidizi mmoja jasiri.
Sijashangaa, hata Bwana Yesu mfwasi wake KINDAKINDAKI, kwa usalama wa maisha yake, alimkana!
Anapendeza kwenye kivazi cha kiislam. Bora Ponda amsilimishe kabisa.Katika mkutano wa Rais Mtarajiwa Tundu Lissu polisi walifika eneo la mkutano na kuanza kuwatawanya watu kwa kutumia mabomu hata hivyo kwa kuwa Lissu ni kiongozi Wala si mtawala aliamuru watu waondoke lakini hata hivyo wanasomanga hawakusita kuimba nyimbo za ushindi kama video inavyoonekana hapo chini Rais Rais Rais.
Wapumbaf sana nyinyi..kwani nyie magari hamna sasa mtayazuiaje yasichomwe pia..kwanza mko wachache Sana msithibutuTupo kwenye utawala wa kipumbavu sana
Wanajaribu kuona reaction ya watu ili waone watakavyowathibuti tarehe 28.
Wajaribu waone mziki wake yaani tutachoma magari na vituo vya police vyote wakileta uchokozi....
Namshangaa huyo Kikwete na TABASAMU LAKE LA KINAFIKI, anapoingia mitaani tena na kutuambia tumpe MITANO TENA huyu mtu!Ubinafsi wa Kikwete, tamaa ya Lowasa na Membe ndo vimetufikisha hapa!
Kenge wa Mabaka wewe! Unasemaje vilee??Tupo kwenye utawala wa kipumbavu sana
Wanajaribu kuona reaction ya watu ili waone watakavyowathibuti tarehe 28.
Wajaribu waone mziki wake yaani tutachoma magari na vituo vya police vyote wakileta uchokozi....