Somanga: Rais Magufuli asikitishwa na uzembe wa Wizara ya Ujenzi kutokarabati barabara Somanga. Azawadiwa jogoo

JPM state house saa moja asubuhi ushashinda.
Nakupenda sana my President.
 
Akisimama eneo la karibu na wewe uje ujaribu kumpa zawadi yeyote then niletee mrejesho!!
 
Rais Magufuli kipenzi cha watu!

Jembe hilo linasubiri tu oktoba lije liwatifutifue nyumbu flani hivi
 
Majonzi mara hii yameshaisha! Unbelievable!
Hivi nyie watu majonzi kwani yanakaa siku ngapi? Au ndo nyinyi kunya anye kuku..... Tatzo lenu nyinyi mkishamchukia mtu basi kwenu huyo hana jema tena
 
Utoke tu huko umpe meko jogoo?
Atakuambia nenda kampe mkeo.

Hii ni movie
 
Sawaaah uncle kwa kununua jogoo wa laki 1.
 
Jogoo Mkubwa huyo utafikiri ule aliyemunua Pazi .....................!!
 
Rais Dkt John Magufuli amepokea zawadi ya jogoo kutoka kwa mkazi mmoja wa Somanga mkoani Lindi ambayo amempatia zawadi hiyo ili akampe mama yake mzazi.

Baada ya kukabidhiwa zawadi hiyo Rais Magufuli alimpatia shs laki moja ”Umenipa zawadi ya kuku na mimi nakupa zawadi ya Tsh. Laki moja”

Rais amepatiwa zawadi hiyo akiwa njiani kuelekea jijini Dar es Salaam akitokea Lupaso, Masasi mkoani Mtwara alikokwenda kwenye msiba wa aliyekuwa Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Hayati Benjamin Mkapa.

Jpm for 2020-2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…