Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akisimama eneo la karibu na wewe uje ujaribu kumpa zawadi yeyote then niletee mrejesho!!Dkt MagufuliJP noma katoka msibani kasimama somanga kapewa kuku na mzee mmoja.
Pia akatoa million 5 za ujenzi wa shule ya msingi somanga, Kuna mtoto kaongea nae kampa laki moja.
Pia mzee alitoa Zawadi ya kuku nae kapewa laki, unalala masikini unaamka tajiri[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]View attachment 1521421
Hivi nyie watu majonzi kwani yanakaa siku ngapi? Au ndo nyinyi kunya anye kuku..... Tatzo lenu nyinyi mkishamchukia mtu basi kwenu huyo hana jema tenaMajonzi mara hii yameshaisha! Unbelievable!
Nashangaah na mie, kweli utoe kitu kwa rais bila kuzingatia itifakhi mmmmmhUtoke tu huko umpe meko jogoo?
Atakuambia nenda kampe mkeo.
Hii ni movie
Unauhakika kuwa ni pesa ya umma,kwamba yeye hana mshahara?Matumizi mabaya ya fedha ya umma kununua jogoo kwa laki moja
Unauhakika kuwa ni pesa ya umma,kwamba yeye hana mshahara?