Some childhood memories

Kula mbakishie baba nilikuwa nauogopa.. nilikuwa mpenzi mtazamaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapana huko mbali sana

Sent using myLG leon
Basi hatkuwahi kucheza pamoja..
Nilimiliki utajiri wa kiloba cha kilo 5 kilichojaa visoda na Viswidi (kile kiganda cha blue kiwenye betri la tiger)
 
Asee mie nilikua napenda kuchungulia wadada wakicheza rede (Nage)
 
Usisahau baruti haswa mwaka mpya..
Mi ndo nilikuwa muhisani baadhi ya vifaa nilikuwa nawauzia plug na msumari wake ila siku ya kwanza kuipiga baruti ya plug nilikimbia akili ilibaha[emoji23][emoji23]
Kuna ile ya kuchukua petrol na kokota unafungia kwenye chupa.

Alafu ile chupa unaifukia kifuatacho washa tairi kwa juu ya hilo shimo alafu nenda umbali wa mita hamsini.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Ile mnapinga kusalimiana, unamuwahi mwenzio "za saa hizi" anakusalimia "shikamoo" basi unajiona ndio umeshakua mtu mzimaa

Nimeshangaa nimeona mtaani nilipo watoto wa siku hizi nao wanafanya hiki kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…