ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,891
- 13,750
Kula mbakishie baba nilikuwa nauogopa.. nilikuwa mpenzi mtazamajiNani alicheza kadome..?
Kula mbakishie baba je..?
Komborela je..?
Baba na mama je..? Lakini hii nilikuwa natengwa sana siwi baba nakuwa mtoto tu kenge kabisa[emoji23][emoji23]
Ila ipo niliofaidi hiyo ilikuwa ni special ya Mimi na kidemu fulani hivi kiliitwa fatu asubuhi pevu kenge tayari nipo kwao! Tukishajipikilisha tunaingia kwenye mauwa[emoji23][emoji23] fatuma i miss you[emoji7]
Michezo nliokuwa siipendi ni kula mbakishie baba ukiangusha kile kijiti halafu huna mbio utachezea mkong'oto mpk unalia[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app