Some childhood memories

Unaweza jua nimekulia sehemu yenye uhuru wa kucheza sana kumbee. Unacheza huku unajua ukurudi unafikia fimbo za kutosha tena unaenda kuchuma fimbo mwenyeww

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwenyewe nilikuwa nacheza kwa machale..saa kumi na mbili natakiwa niwe ndani na nimeshaoga..sasa ukute hiyo kumi na mbili mchezo nao ndiyo umeanza kunoga.. watoto wenzangu walikuwa wanacheza hadi usiku nilikuwa nawaonea wivu aisee..Mama akisafiri ndiyo furaha yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu mpaka leo.dam analamba Kama kawaida na anameza[emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ningeweza kuelezea kinagaubaga jinsi nilivyokuwa mtaalam wa hiyo kitu sema watu watachefukwa. Utoto una nyakati za aina yake.
Ila hali leo damu ikinitoka nalamba japo simezi tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi kucheza ilikua tunakatazwa..Ikipiga adhanaa haupo home utakula stick hatari.
Halafu wazazi wakuda sana wanasubiri pale mchezo umenoga ndio unaambiwa kateke maji mtoni ambapo ni kama km3
 
Kula mbakishie baba

Hapo inabid upanguse mchanga kiakili sana, ukijichanga kuangusha kijiti, unaweza kuchezea kipigo kama boko haram, hapo mti wa kushika ili uachiwe kupigwa upo mtaa wa pili
Hiki kizaz mtoto wa kiume yeyote yule, hauwez kuwa na tabia za kike

Huu mchezo ulinifanya niwe nunda sana,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimejisikiaje kinyaaa.
Fanya umlipizie tuh.
Hakuna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
Alihama mwaka huo huo tukiwa darasa la 4 na hadi leo hatujawahi kuonana. Ila yaani siku tukija kuonana hata kama tutakuwa tumeshakuwa wazee , lazima nilipe kisasi. Sitojali kuwa ulikuwa utoto
 
Ukiangusha kijiti wahuni wanawahi kwenye njia mti ulipo, sasa hapo ni kuomba mbio zako zikusaidie.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kudaka vyura na samaki kuleta home na kuweka kwenye makopo ya toss kabatini!

Madoba ngumii,ukipigwa tobo kwenye mpira unapigwa ngumi za mgongo mpaka ukashike nguzo

Nani kacheza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…