Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Mimi mwenyewe nilikuwa nacheza kwa machale..saa kumi na mbili natakiwa niwe ndani na nimeshaoga..sasa ukute hiyo kumi na mbili mchezo nao ndiyo umeanza kunoga.. watoto wenzangu walikuwa wanacheza hadi usiku nilikuwa nawaonea wivu aisee..Mama akisafiri ndiyo furaha yanguUnaweza jua nimekulia sehemu yenye uhuru wa kucheza sana kumbee. Unacheza huku unajua ukurudi unafikia fimbo za kutosha tena unaenda kuchuma fimbo mwenyeww
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app