Some childhood memories

Some childhood memories

Tulikua tuna mchezo tunaita Kombolela Uchi. Hii tulikua tunaicheza kuanzia saa 2 ya usiku..Mtu anakuja kukomboa mpira yupo full suti. Uchi kabisa (Tulikua hatuna chupi..) huwezi mjua jina jama.
Watu wamekulana huko..sio waoga tulitoka kapa pote
Wale waliokuwa wanajificha komborela hawatoki kumbe wanafanya yao..[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabia ya kusugua tunda ya ubuyu inakuwa motooo..alafu unamgusisha mwenzio mwilini [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii vipi
FB_IMG_15855063301680791.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru Mungu hakuna mchezo utotoni sijafanya..ya kike na ya kiume yote nimecheza.[emoji23][emoji23] Ila tulikua tukicheza baba mama wale wadada wanatulazimisha mm na mdogo wangu tuwe watoto badala ya baba

Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau baruti haswa mwaka mpya..
Mi ndo nilikuwa muhisani baadhi ya vifaa nilikuwa nawauzia plug na msumari wake ila siku ya kwanza kuipiga baruti ya plug nilikimbia akili ilibaha😂😂
 
Mi nilichapwa nilivyoimba "Mambo mambo kwa soksi"

Nilikuja kuelewa maana ukubwani.kumbe ni kuisifia condom.
Ya dar mpaka Moro sijui ila ya ulimi ni matusi hasa kwa zile nyuchi zenye maji.. Hiyo action hutokea wakati wa kufanya matusi

Jr[emoji769]
 
Tulikua tuna mchezo tunaita Kombolela Uchi. Hii tulikua tunaicheza kuanzia saa 2 ya usiku..Mtu anakuja kukomboa mpira yupo full suti. Uchi kabisa (Tulikua hatuna chupi..) huwezi mjua jina jama.
Watu wamekulana huko..sio waoga tulitoka kapa pote

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] hiyo kiboko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisahau baruti haswa mwaka mpya..
Mi ndo nilikuwa muhisani baadhi ya vifaa nilikuwa nawauzia plug na msumari wake ila siku ya kwanza kuipiga baruti ya plug nilikimbia akili ilibaha[emoji23][emoji23]
Sisi tulikua karibu na kambi za jeshi ilibidi wanajeshi wakataze hiyo kitu ndio tukaacha. Tulikua tunatengeneza migobole kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mdada wa jirani huyu ndio alikua mkubwa kwetu kama miaka 2. Huyu mdada alikua anachupi yake nyekundu mbele ina ua.
Alikua ashazoe tunakaa maeneo anavua chupi yake hiyo nyekundu namsaidia kutoa chawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tukimaliza kuokota anavaa. Siku moja aliitupa hiyo chupi tukaona katoto kameivaa kichwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulikua tunachukua nywele mtu akinyolewa halafu tunachukua utimvu wa Minyaa/Minyara tunabandika kidevuni eti ni ndevu..Zingine tunabandika huku chini eti tumeota[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] Tukikosa nywele tunaweka nywele za mahindi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mianza kuona nyuchi za wazee wenu mapema sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom