Some childhood memories

Some childhood memories

Kudundana..[emoji23][emoji23]..nilikuwa na rafiki yangu wa kike huyo alikuwa mtata balaa..Kuna kivulana kilikuwa kinapenda kutukorofisha..tulikuwa tunakichangia rafiki yangu anahakikisha kamlaza chini kazi yangu ilikuwa kumlalia juu na ivyo nilikuwa kibonge..[emoji23][emoji23][emoji23] aisee
71526373_797444680714418_2378292258130304281_n.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Komborela mipira ya manailoni (Sodo)tulikua tunasuka wenyewe, basi nyakati za usiku kuna wakorofi wanauondoa ule mpira wa kukombolea kisha wanachukua jiwe wanalifungafunga na manailoni wanaliweka badala ya mpira, basi MTU anatoka mafichoni hana ajualo anakuja kukomboa wenzie waliokamatwa ile paaaa!! Mshuti kapiga jiwe, lazima amwage chozi tena kama kapiga dochi dole gumba litabakiwazi bila ukucha.
Nani alicheza kadome..?
Kula mbakishie baba je..?
Komborela je..?
Baba na mama je..? Lakini hii nilikuwa natengwa sana siwi baba nakuwa mtoto tu kenge kabisa😂😂
Ila ipo niliofaidi hiyo ilikuwa ni special ya Mimi na kidemu fulani hivi kiliitwa fatu asubuhi pevu kenge tayari nipo kwao! Tukishajipikilisha tunaingia kwenye mauwa😂😂 fatuma i miss you😍

Michezo nliokuwa siipendi ni kula mbakishie baba ukiangusha kile kijiti halafu huna mbio utachezea mkong'oto mpk unalia😂😂
 
Back
Top Bottom