Somo gumu na lililojaa maumivu kwa upande mmoja na furaha kwa upande mwingine kutoka Nepal

Somo gumu na lililojaa maumivu kwa upande mmoja na furaha kwa upande mwingine kutoka Nepal

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Tunaweza kujifunza sasa tukiamua kabla hazijaja nyakati ngumu.. Nguvu ya uma ni nguvu ya ajabu mno

Imewachukua vijana wa Nepal masaa 36, kupata uhuru wao kuondoa serikali isiyowajibika madarakani.

Mwanzo polisi walitumia amri, mabomu, risasi na kuzima mitandao.

Sasahivi waziri mkuu yuko mafichoni mke wake ni marehemu.

Umma una nguvu ukiamua. . Na unapoamua hakuna wa kuwazuia ... Hakuna cha kuwazuia

Wagagagigikoko wajifunze sasa na waelimike wakiamua
FB_IMG_1757648426763.jpg
 
Kuna wat u walijinadi kama wanamatengenezo, watumishi mnyenyekevu wa watu, lakini tunachokiona ni kinyume chake.Kiburi, propaganda, uzembe & vitisho. Huduma zinaporomoka, rasilimali zinapotea, bado wafuasi wao wanapiga makofi kwa maneno matupu. Mbwa-mwitu wa kweli katika ngozi ya kondoo akila watu wale wale alioahidi kuwalinda.
FB_IMG_1757648799301.jpg
 
Nguvu ya umma ni kubwa mno,
Ni wakati wa watawala kuchukua hatua stahiki ama kubadilika
 
Ila Mshana Jr sidhani ishu ya Nepal ni ya Gen Z, hicho ni kipande cha juu tuu cha barafu (iceberg).
 
Back
Top Bottom