Somo gumu na lililojaa maumivu kwa upande mmoja na furaha kwa upande mwingine kutoka Nepal

Somo gumu na lililojaa maumivu kwa upande mmoja na furaha kwa upande mwingine kutoka Nepal

Nimemisi mitusi ya Mdude Nyagali. Ila mdude maneno yake makali nadhani yamepeleka yaliyomkuta.

Ila Baba wa mbinguni alituasa tusihukumu. Mamajusi wamemhukumu mdude #Freemdude
#Wahuniwameungana
 
Bado sijakupata vizuri hapo, uhusiano wa mfano wangu wa iceberg, ge z na hii video ya mke wa wazuri mkuu.
 
Nimemisi mitusi ya Mdude Nyagali. Ila mdude maneno yake makali nadhani yamepeleka yaliyomkuta.

Ila Baba wa mbinguni alituasa tusihukumu. Mamajusi wamemhukumu mdude #Freemdude
#Wahuniwameungana
Umeshawahi kuyasikia ya yule Dada anajiita Rachel? Hayatamkiki! Hayaandikiki
 
Bado sijakupata vizuri hapo, uhusiano wa mfano wangu wa iceberg, ge z na huyo mke wa wazuri mkuu.
Nimekupata vizuri sana.. Hiyo niliyoweka ni matokeo ya mwisho katika mfano wako jumuishi wa iceberg!
 
Umeshawahi kuyasikia ya yule Dada anajiita Rachel? Hayatamkiki! Hayaandikiki
Huwa simsikilizagi yule rachel wa tiktok maana huwezi kusikiliza mbele ya watu nasikia ana lugha chafu sana. Nadhani anatafuta views a trend ili alipwe.
 
Huwa simsikilizagi yule rachel wa tiktok maana huwezi kusikiliza mbele ya watu nasikia ana lugha chafu sana. Nadhani anatafuta views a trend ili alipwe.
Hapana kule sio kutafuta viewers.. Yule ni chizi
 
Hii mitandao yote uki commercialize unapopata views wengi likesna shared. Unaingiza mpunga.

Diamond na.wenzie akina Jaymelody. Marioo. Komde. Wodemaya. Tayoainafilms. Wanalipwa pesa nyingi toka digital platforms
 
People don't realize that they have it so good here. That doesn't mean nothing should happen. If anything should happen, it should be that every single third world country should collectively sanction the US and Europe until the US and Europe fall to their knees.
Kuna wat u walijinadi kama wanamatengenezo, watumishi mnyenyekevu wa watu, lakini tunachokiona ni kinyume chake.Kiburi, propaganda, uzembe & vitisho. Huduma zinaporomoka, rasilimali zinapotea, bado wafuasi wao wanapiga makofi kwa maneno matupu. Mbwa-mwitu wa kweli katika ngozi ya kondoo akila watu wale wale alioahidi kuwalinda. View attachment 3470189
 
Back
Top Bottom