https://www.facebook.com/One yes na sisi tutakuwa kama Nepal.
Kwa sasa ni vigumu kwako kuelewa. Lkn HP, HK na wengineo tayari wameshaelewa. Ni suala la muda tu.Sasa tutaambiwa kuhusu mambo ya Nepal mpaka wanepal wenyewe watakuwa wanashangaa hizi habari zimetokea lini na sehemu gani ya Nepal!!!
Ila Mshana Jr sidhani ishu ya Nepal ni ya Gen Z, hicho ni kipande cha juu tuu cha barafu (iceberg).
Nguvu ya umma ni kubwa mno,
Ni wakati wa watawala kuchukua hatua stahiki ama kubadilika