Somo kutoka Urusi: Ili Taifa lipate mafanikio lazima kuwe na "consistency" kwa viongozi wa wandamizi na nguli

Mawazo yako Boss. Ngoja tuone. Kama kweli Uruai imeruei nyuma miaka 50. Usisahau hadi tunavyoongea wanaendelea ku inject Euro Urusi wakinunua gesi na wese lake. Wao wamezuia Urusi aisuziwe Piza. Sasa sijui Nani anapiga bingo hapoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni
Hiyo Urus haipo hata kumi bora ya inchi zenye uchumi mkubwa sasa sijui una of ngelea mafanikio gani. Halafu Russia ni moja ya inchi zilizokithiri kwa Rushwa
Ni kweli kabisa mkuu. Ila Wanaume 30 kila siku wanakaa vikao ili kukabiliana naye!
 
N
Ndiyo maana nikasema angalau miaka 15. Yaaani mtu aweze kugombea vipindi vitatu. Akizingua si raia wanamtoa. Kama anafanya poa basi aendelee kutema cheche badala ya kumtoa eti kwakuwa mda umeisha wakati ni mtu very productive.
 
Lukuvi,Mkuchika na kuna wengine tena nimewasahau, wenyewe kila hawamu wapo serikalini.
 
Lukuvi,Mkuchika na kuna wengine tena nimewasahau, wenyewe kila hawamu wapo serikalini.
Mzee nimesema tatizo letu wale potential siasa zetu haziwataki. Wanaodumu ni wale chawa chawa tu. unprofessional ambao hata wangekaa miaka 10 hakuna tangible our put unaweza pata kwao.
Of course Mkuchika naaamini Kuna sehemu amefanya pakubwa. Na anaweza akawa case study ya hiki ninachokiwaza.
 
Mkuu umeongea Ukweli mtupu ila inategemea na mtu, Kana mtu Kama mkapa, Magufuli, mbowe, Malim seif, Nyerere, Salim A Salim, sio mfano wa watu Kama Hangaya , kikwete ni kupoteza muda tyuu Bora kila mwaka mbadili
 
Mkuu umeongea Ukweli mtupu ila inategemea na mtu, Kana mtu Kama mkapa, Magufuli, mbowe, Malim seif, Nyerere, Salim A Salim, sio mfano wa watu Kama Hangaya , kikwete ni kupoteza muda tyuu Bora kila mwaka mbadili
Ni sahihi mkuu. Cha msingi iwekwe msingi mizuri ya demokrasia. Mtu Kama haeleweki miaka mitano watu wapige chini. Kama ni very potential apewa mda atusogeza kuliko kumbana bana sijui na term limits. Fikiria Ile speed ya Ben. Angalia wale mawaziri wa Ben, Kama angepata another ten years nini kingetokea. Badala yake tukamtoa akaja mze wa msoga. Karibia 90% ya waandamizi wa Ben akapiga chini tukaanza moja.
 
N wingine w cameroon

Af hata TLP kuna mwamba Lyatonga miaka kibao πŸ˜‚
Hao wapo mkuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Lakini mcheki mwamba Mbowe. Unadhani CDM wangefaidika na uongozi wake kama wangembana bana na time limits.
 
kwahiyo unataka kusema viongozi wawe wanakaa madarakani muda mrefu hata awamu zao zikiisha ?
 
Maisha hayaendi hivyo babu, ukisema wamepambana, wamepambana kwenye nini? Kinachomata ni system za uongozi, hii ni sawa kwenye Soka useme Carlo Ancelloti ni kocha wa muda mrefu kwa hiyo Xavi Hernandez hana jipya.
Sidhani Kama umenielewa. Na mfano wako unathibitisha hilo
 
Katika kuna demokrasia gani zaidi ukibaraka na unafiki

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sina tatizo na ulichoongea kuhusu uimara wa Urusi na hiyo crue uliyootaja. Sina shida na hoja yako kuhusu Urusi kujijenga. Pia nikusaidie, aliyeanzisha mapinduzi ya kuifufua Urusi ni Boris Yeltsin. Aliwahi kubadili Mawaziri wakuu watatu ndani ya mwezi mmoja hadi kumpata Hon. Putin. Kabla ya Putin alikuwa Viktor Chernomyrdin. Huyu alianza kupiga sana wahuni wa Chechnya.

Sasa, kuhusu hoja yako: siasa za nchi zinatokana na historia ya kila nchi husika. Siasa za nchi ikiwemo demokrasia yake ya kupata viongozi siyo chupa ya cocacola. Tanzania ina historia na mifumo tofauti inayoongoza dola. Uimara wa Taifa letu hadi sasa umetokana na msingi wa kuheshimu awamu za uongozi na cheo kuwa Dhamana. Utakaa leo kesho unaweza kuondoka. Pia, US ina historia yake, Israel, Iran nk.πŸ™πŸ™πŸ™
 
kwahiyo unataka kusema viongozi wawe wanakaa madarakani muda mrefu hata awamu zao zikiisha ?
Hapana mkuu. Tuimarishe demokrasia. Tuondoe upuuzi wa lime limits. Kiongozi akizingua atolewe chapu. Kiongozi akiwa mzuri aachwe achape kazi mambo ya vipindi tupa kule
 
Hatuna uimara wowote. Bali tumekuwa waoga. Hatujaribu mambo mapya. Tumebaki kwenye Comfort zone. Hatupigi hatua. Our leaders don't take risks. Hatuko aggressive tunaziwa hata na Rwanda kwenye agressiveness. Yaani hadi Kenya au Malawi atuguse kalio ndiyo tunashtuka.

Unauona huo mgogoro wa Russia na Ukraine. Watu wamekataa kubaki kwenye Comfort zone. You don't disturb you remain stagnat. Sasa wamechukuaje risk kila mtu kadri ya uwezo wake. Kila mtu anajaribu kucheA turufu yake.
Unajua kabisa baada ya vita hivi kutakuwa na chnages nyingi, politically aand economically at both Nationa and International.
So Kuna watu watapigika na Kuna watu wataibuka na neema.
 
Mambo mengi ya history za nchi huwa hayaendi kwa utaratibu wa "Watu kujaribu!" Kwa mfano, huwa nasema, 'Huwezi kujaribu muundo wa Serikali tatu!' Hiyo ni njia rahisi ya kuvujanja Muungano.

Sasa Urusi, historia yake inajulikana. Tanzania , US, Israel, Iran, Ujerumani nk zitakwenda kwa historia zao. Hata zikitaka kufanya Mapinduzi ya maendeleo lazima yaendane na historia zao na 'Si kujaribu! Gorbachev's alijaribu akaisambaratisha USSR πŸ˜€πŸ˜€. Yeltsin akaianzisha Hon. Putin anaindeleza.
 
Basi
Sawa tuendelee kungangania hiyo historia ambayo haina msaada wowote. Maana hatusogei kwahiyo haina maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…