Somo kwa wahafidhina wa Laliga

Je Timu ya Uengereza yaweza Kucheza Fainali ya UCL?

  • Ndiyo

  • Hapana


Results are only viewable after voting.
Burudani gani iliyopo Laliga?
Kukaa Kwenye TV kabla Mpira Haujaanza ukawa unauhakika Barcelona anashinda Ndiyo Burudani au?

Ligi isiyo na Ushindani
ya Timu Mbili Real na Barcelona Haiwezi kuitwa Ligi Bora...
Bali Kuna Mechi Bora tu ya El Clasico...
Atleast umechambua. Lakini Epl kuna el classico hizi: Man U vs Liverpool, Man U vs Arsenal, Man U vs Chelsea, Man U vs Man City, Man U vs Spurs, Liverpool vs Arsenal, Liverpool vs Chelsea, Liverpool vs Man City, Liverpool vs Spurs, Arsenal vs Chelsea, Arsenal vs Spurs, Arsenal vs Man City, Chelsea vs Man City, Chelsea vs Spurs, Man City vs Spurs, hizi ndo el classico epl ambazo lazima uziangalie tu.
 
Arsenal kutoshiriki UCL kumeinufaisha EPL ndio maana now wanatamba UEFA

Arsenal alikuwa uchochoro kwa Wahispaniola na Wajerumani
Naombea Arsenal hata Europa asichukue maana akija UCL hana faida !!!
Acha kuzingua kwani arsenal ilikuwa timu pekee au Arsenal kuwa uchochoro inapelekeaje timu zingine za EPL kutolewa.
 
Acha kuzingua kwani arsenal ilikuwa timu pekee au Arsenal kuwa uchochoro inapelekeaje timu zingine za EPL kutolewa.

πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakati huo huo watu ambao wamekosa namba la liga huwa wanaenda England...

Kumbuka Fabregas na Sanchez..

La liga huwa wanachukua cream tuu kutoka E.P.L kama Suarez, Bale na wengineo wakati E.P.L inachukua waliokosa soko la liga na kuja England..
Bora umewaambia ukweli Bale amechuja Madrid Man wanataka kuzoa wakat huo De Gea anashine anataka kwenda Madrid, haha timu bora na wachezaji waliochuja
 
Na waangalie na robo fainali zisiingie zote!
 
aiseee ila tukumbuke kutomtusi mamba kabla hatujavuka mto.....
juventus alipgwa 3 kimatani matani na real akabeba mara ya 2
Ila uangalie na performance alokuwa nayo madrid. Ilikuwa kubwa mno, kiasi kwamba hata Man city huyu asingefua dafu. Tuache ushabiki msimu huu hizi timu za epl moto wake tumeuona.
 
Hawaukubali huu ukweli. Timu 3 zimekwenda Spain hazijapoteza. 2 zilitoka sare i mean Liverpool vs Sevilla akichomoka kwa bahati tu Sevilla, Spurs vs RM wakati Chelsea alishinda vs ATM, na zilipokwenda UK 2 zilitoka sare moja ikavuliwa nguo i mean RM vs Spurs.
 
Wakati huo huo watu ambao wamekosa namba la liga huwa wanaenda England...

Kumbuka Fabregas na Sanchez..

La liga huwa wanachukua cream tuu kutoka E.P.L kama Suarez, Bale na wengineo wakati E.P.L inachukua waliokosa soko la liga na kuja England..

Wewe Sasa Hapa Naamini Umekula Mchicha Wa Jamaica!!!!

Na Ndiyomana Nikawa Nasema Wapenzi Wa Laliga Ni Watoto Walioanza Kutazama Mpira 2009 na Kuipenda Laliga Santander baada Ya Kumuona Mfalme Messi! Na Wale Wakubwa ni Wale Wasiojua Mpira...

Ukifanya Comparison Kwa Baadhi Ya Mambo unatakiwa Uhifadhi Kumbukumbu! Venginevyo utaishia Kuumbuka!

Nitakupa Baadhi Ya Mifano tu ili ujione wewe Ni Kunguni Kimawazo!!

1) Real Walimsajili Michael Essien (Alikuwa Anaoze Benchi Chelsea)

2) Atletico Wamemsajili Torres (Alikuwa Anaozea Benchi Chelsea mbele ya Drogba)

3) Atletico Wanamtaka Diego Costa (Hana Namba Chelsea na Kafukuzwa)..

4) Celts Vigo Wamemsajili
Iago Aspas (Alikuwa Bench Liverpool)

5) Valencia Wamemsajili Samir Nasri (Bench Arsenal)

6) Real Walimsajili Arjen Robben (Bench Chelsea)

7) Atletico Walimsajili Diego Forlan (Bench Man United)


7) Real Walimsajili Jersy Dudek (Bench alimkimbia Pepe Reina Liverpool)

8) Barcelona Walimsajili Gerrard Pique (Bench Man United)

10) Hata Florent Sinama Pongole Alikuwa Bench Liverpool Wakati Spain Kawa Star.

11) Liverpool Walimsajili Fernando Torres (Mchejazi Wao Muhimu Aliyevuliwa Ucaptain Atletico ili aje Liverpool
)

12) Man City Walimsajili Aguero (Panga pangua Atletico)

13) Chelsea Walimsajili Diego Costa (Panga pangua Atletico)

Na hawa Kina Juan Mata, Ander Herrera, Robinho, Ozil n.k. wote Walikuwa Panga Pangua Kule Spain...

Kwahiyo Kabla Ya KuniQuote Jua Mimi Nimeanza Kufatilia Mpira Zamani na Kumbukumbu Zote Ninazo.....

Hii Kuuziana Wachezaji Wa Bench Ni Sifa Ya Mpira Dunia Nzima Timu Zinafanya Hivyo Si EPL pekee tu.. Kwani Mchezaji Kukaa Benchi Haimaanishi Kuwa Ni Mbovu Bali Wengine Hawajapewa Nafasi tu... Kwa Mfano:-

1) Mo Salah Chelsea Alikaa Bench! Je sasahivi Wakiuziwa Na Liverpool Wataweza Kumueka Bench? (Ni Kwamba Chelsea Hakupeawa Nafasi tu akaprove)..

2) Diego Forlan Alikaa Bench Man United Kwasababu Hakuendana na Mfumo.. Lakini Alipofika Atletico Kina Etoo na Messi waliiona Shuhuli take manake Miaka Miwili Mfulilizo aliwapiku Kuwa Mfungaji Bora.

3) Robben Chelsea Hakupewa nafasi Lakini alipofika Real na Beryan Shuhuli Yake inajuilikana..

4) Sanchez ni Sawa na Henry na Ibrahimovic na Fabregas! Hawakuendana Na Mfumo Wa Barcelona lakini Hawakuwa Wabovu Hata Kidogo....

5) Gerrard Pique Hakuwa Mbovu Pale Man United lakini Kwa Wakati Hule Ni Vigumu Kucheza Mbele ya Rio na Vidic Kwani uwezo wao Ulikuwa Ni Mkubwa....

So, Jipange tena...
 
Usishangae ukiona timu zote za EPL zikishindwa kufika fainali
Ndio ninachokiona wengine wanaishia hapo hapo 16 bora wengine wataenda kufia roho fainal
 


Huu Ukweli Hawataupenda πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ....

Timu 3 za EPL zimekwenda Spain Hazijapoteza Hata Mchezo Mmoja na Zimeshinda Mchezo Mmoja..

Timu 3 za La Liga
Zimekuja Uingereza Zimepoteza Mchezo Mmoja na Hazijashinda Hata Mmoja...

Still Bado Kuna Mtu Anakwambia Laliga ipo juu Ukilinganisha na EPL... Hichi Kichaa Cha Wazi Kabisa....

Hizo ↑↑↑ Ndiyo Facts Tunazotaka... Na Nyinyi Laliga-Fanboys Leteni Facts Zenu Hapa Tuone Huo Ubora Wenu Sio Porojo tu na Majisifu Ya Kihistoria...
 
Ushindani unakuja kutokana na kukosekana timu nzuri. hebu tumuingize Real Madrid EPL tuone kama patakua na ushindani au one horse race.
One horse race? How? kwani Madrid hakuwahi kufungwa na Man Utd au Arsenal? Au barca alivokuwa akitolew Jasho na chelsea mpaka abebwe, au tukumbushane madrid alivopewa miba mitatu aitafune na spurs timu ya sita kwenye EPL? nasikia CATALAN ikijetenga Barca inaweza kujoin EPL... Nina hamu itokee πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Subiri uone bingwa atakuwa nan? Kama akitoka EPL JPM ataongeza mshahara mara 10
 
Nitakuletea Mrejesho hapa JF pale Timu Zote 5 kutoka EPL zitakapotinga Robo Finali na Nafasi 3 tu ndiyo zitakazotoka Nje Ya EPL.....
Hebu niambie timu yoyote ile EPL ya kuweza kuzima mziki wa Barca, Bayern na Psg
 
Historia kweli la liga anafeli. Tukisema hivyo maana yake Kwenye mtoano Wakipangwa Barca vs Liverpool lazima Barca akae, rejea 2007 februari Barca Akitoka kuwa bingwa wa ucl na akiwa na kikosi hatari alikaa kwa Liver alikaa Liver akiwa na kikosi cha kawaida. Kwa Barca hii na Liver hii, mh! Madrid akiwa na kikosi bora 2008 alipigwa nje ndani. Watu hawapendi ukweli. Kila jambo na wakati wake.
 
Umemaliza. Nilitaka kumpa hivyo vidonge.
 
Mkuu ubora wa timu ni ushindani,ligi karibu misimu yote ni barca na madrid hapo utasema hiyo ligi ni bora?
 
Hawakumbuki Madrid akiwa kwenye ubora mpaka kuchukua ubingwa ucl mara 2 mfululizo ndo alimfunga Liverpool aliyekuwa mbovu, lakini Liverpool akiwa katika ubora wa kawaida na Madrid kama kawaida yake na stars wakubwa alikaa nje ndani ucl.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…