Wewe sasa hapa tunaongelea league bora au mchezaji bora? Kwa hiyo leo Neymar akiwa mchezaji bora basi france ni bora. Tatizo hapa kuna watu wameanza kuangalia hizi team juzi. Hao Real walikaa miaka 30 kuja kushinda tena CL. 1966 mpaka 1998.Kwa season 10 ilopita, kombe la UEFA limeenda spain mara 6, barca mara 2 na real mara 4.
Mara ya mwisho mchezaj bora kutoka epl ilkua lin??
Wewe ndio rudia history. Watu wamenza kuangalia league ya German na Italy kabla ya EPL. Kulikuwa na kitu kinaitwa Football made in Germany. Leo EPL wako wapi na Germany wako wapi. Kizuri kinajiuza. Real na Barca sio team za jana sababu leo watu wanaangalia sababu La liga sio exclusice hata Azam wanaonesha na Dstv. Epl ni very expensive ndio maana ni Dstv tu.Technical hakuna ubora kwenye ligi ya EPL.....
1.British Football Imperialism through Media Empirialism ndicho kilichowabeba EPL walikuwa wajanja kutoa ligi yao ionekane mataifa mengine kwa muda sahihi
2.EPL ilivutia mataifa mengi hasa baada ya kukaribisha wachezaji wa mataifa mbalimbali tena wakiwa hawana ubaguzi wa kiwango cha juu kama Italy,German na hata Wahispania wenyewe
Mataifa mengi Tanzania ikiwemo yalikuwa hayana option ya kuangalia mpira hivyo Uingereza walijipatia umaarufu.
Licha ya La Liga kuwa bora mataifa mengi hasa ya Africa mashariki hayakupata nafasi ya kuangalia mechi za La Liga kutokana na muda wa kick off lakini walitambua hili na ndio maana hata watanzania sasa tumeanza kufuatilia la liga.
Wanashindwa kutofautisha kati ya UBora na Umaarufu.......EPL ni maarufu na kupitia hilo imeweza kuvutia wachezaji wengi baada ya matangazo ya TV kuwaingizia mabilioni ya fedha.
We umevuta bangi kweli,hivi unaiachaje Atletico Madrid kwenye timu kubwa na kuiweka Asernal na Liverpool? Na kwa taarifa yako, Atletico Madrid imefanya vibaya makusudi ili iende kubeba Europa league.Many U, Spurs, Man City, Liverpool, Chelsea na Arsenan V/S Real na Barcelona
Kuna Watu Vichaa Kweli... Hivi Ligi Yenye Timu Sita za Ushindani Unaifananisha Na Ligi Yenye Timu Mbili za Ushindani??? Ridiculous...
Wacheni Kuifananisha EPL na Mambo ya Kipumbavu!
[emoji23] [emoji23] Athletico team kubwa kuliko Liver na Arsenal. Humu naona labda tunajadiliana na watu wamefungua macho jana kuona hizi team. Hao Madrid tu na Barca kafungue history uone ni mara ngapi wamecheza na Liver na uone matokeo ni mara ngapi Liver alishinda au kufungwa na draw halafu utajuwa.We umevuta bangi kweli,hivi unaiachaje Atletico Madrid kwenye timu kubwa na kuiweka Asernal na Liverpool? Na kwa taarifa yako, Atletico Madrid imefanya vibaya makusudi ili iende kubeba Europa league.
We umevuta bangi kweli,hivi unaiachaje Atletico Madrid kwenye timu kubwa na kuiweka Asernal na Liverpool? Na kwa taarifa yako, Atletico Madrid imefanya vibaya makusudi ili iende kubeba Europa league.
Comment yako inaonyesha ni jinsi gani hujui mpira!Kinachoongelewa ni mwenendo wa timu zote 5 kuingia 16 bora tena 4 zikiongoza makundi huoni ni jambo kubwa ?
Umezoea kukariri tena msimu huu Arsenal hayupo hivyo usitegemee timu ya EPL kunyanyaswa na Bayern wala Barca
Mashabik wa epl mnalazimisha sana mambo ila huwez kuwa na ligi bora kama huna wachezaji bora, ukweli ni kwamba laliga inaifunika epl
Comment yako inaonyesha ni jinsi gani hujui mpira!
Hivi unajua mara ya mwisho Chelsea wanashinda UEFA walikua na hali gani?
Unajua walikua wangapi kwenye msimamo wa ligi?
Kaa utulie, utanyolewa soon!
Eti Barca size yake ni Liverpool, unaongelea Liverpool waliomshindwa sevilla?
Ni kawajda ya mashabiki wa team za EPL kuongea hovyo, na hamjui mpira.
Mtarudishwa mapangoni muda si mrefu!
Umemaliza mheshimiwa. Kama hawataelewa basi tena. League bora maana team 20 sasa kweli hakuna wachezaji huko mpaka waje kumwaga pesa huku EPL.Kwani Ukitoa Messi na Suarez Ndani Ya Laliga Ni Nani Anayeweza Kusimama na Pogba, Harzad, Coutinho, Mo Salah, Kante na Degea?
Hivi Kama Kwanini Real Wamtake Henry Kane Wakati Spain Kuna Wachezaji Bora Kuliko Yeye?
Kwanini Barcelona Wamtake Coutinho Wakati Spain Kuna Wachezaji Bora Kuliko Yeye? Si Waende tu Malaga au Getafe Wakachukue Mchezaji Mzuri Kuliko Coutinho?
Kwanini Wammezee Mate De Gea Wakati Kina Bilbao Wana Wana Wachezaji Wazuri?
Shoga Miss Ronaldo Wanaume Washammaliza Hamna Kitu... Tayari hapo Nusu ya Image Ya Ligi Yenu imepotea...
Neymar Kaondoka! Tayari Nusu ya image Yenu Nyengine imepotea...
Sasahivi Kabaki Mfalme Wa Wafalme Wa Soka Mchawi anaeunyanyasa Mpira Kama remote Control King Sir His Majesty Emperor Messi Peke Yake Ndiye anayebeba image Ya Ligi Yenu...
Na Akihama Messi tu Spain Nyote Mutarudi EPL manake Hakuna Hata mmoja Kati Yenu anaehamu ya Kumtazama Inaki Williams...
Sasahivi eti Munajikakamua Kuwataka ICONS Wa EPL kina COUTINHO, HARZAD, DE GEA, KANE na DELE ALLI ili muifufue Ligi Yenu inayodidimia...
Sio pre-season tu akatizame hata history ya Barca na Liver tumewapiga mara ngapi tena ile Barca ya kina Gaucha na Eto'oNadhani Umesahau Kuwa Barcelona ikiwa na Mastaa Wake Wrote Last Pre-Season ilikula NNE kwa Mtungi kutoka Liverpool...
Kama ukweli vileWe umevuta bangi kweli,hivi unaiachaje Atletico Madrid kwenye timu kubwa na kuiweka Asernal na Liverpool? Na kwa taarifa yako, Atletico Madrid imefanya vibaya makusudi ili iende kubeba Europa league.
Hii post inaonyesha wazi wewe ni MTU wa aina gani!Mimi Nina Uhakika na Ninajiamini Kuwa Ninatamka Wazi CL marahii inatua Uengereza! isipokuja basi Salary Yangu Ya Miezi 6 ya Kazini Naichoma Moto Hadharani..
Nani Yuko Tayari Tubeti?
Mashabiki wakibongo wanafurahisha kweliChampions league timu za uingereza zikitoka huwa inapwaya kichizi
Ushindani unakuja kutokana na kukosekana timu nzuri. hebu tumuingize Real Madrid EPL tuone kama patakua na ushindani au one horse race.Many U, Spurs, Man City, Liverpool, Chelsea na Arsenan V/S Real na Barcelona
Kuna Watu Vichaa Kweli... Hivi Ligi Yenye Timu Sita za Ushindani Unaifananisha Na Ligi Yenye Timu Mbili za Ushindani??? Ridiculous...
Wacheni Kuifananisha EPL na Mambo ya Kipumbavu!
Vipi kwani huna uhakika kama Man city anashinda? Tunachokua hatujui ningapi kama 5 au 6Burudani gani iliyopo Laliga?
Kukaa Kwenye TV kabla Mpira Haujaanza ukawa unauhakika Barcelona anashinda Ndiyo Burudani au?
Ligi isiyo na Ushindani ya Timu Mbili Real na Barcelona Haiwezi kuitwa Ligi Bora...
Bali Kuna Mechi Bora tu ya El Clasico...
Unazungumzia kupotea???? Haha Arsenal vp?? Liverpool nayo??? Man U tangu aondoke Ferguson vp??? Acha kutuchekesha hapaNdugu yangu Valencia shughuli gani? Ni team ndio mwaka huu imeanza kurudi kwao ndani. Sevilla ni team za misimu tu zinakuja na zikipotea zinapotea vibaya kama deportivo. Athletico circle yao inaisha kama ile ya 1996. Ni team hazina muonekano kama wa Barca na Madrid. La liga ni team mbili tu hizo zingine kama mvua za msimu.