The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,773
- 1,660
Mkuu hz timu za epl hazibebeki utaona zinavyotolewa kwenye mtoanoTimu za la liga zimelichoka hilo kombe maana miaka mitatu mfululizo wanachukua,fainali mbili zikihusisha timu za la liga ndani ya miaka minne. Msimu huu ni upepo tu umeegemea upande wenu EPL na mtashangaa hatua zinazofuata mnaondolea wote.
Umemaliza mheshimiwa. Kama hawataelewa basi tena. League bora maana team 20 sasa kweli hakuna wachezaji huko mpaka waje kumwaga pesa huku EPL.
Mkuu hz timu za epl hazibebeki utaona zinavyotolewa kwenye mtoano
Nikusaidie tu kwamba swali lako lilitakiwe lihusu ubora wa ligi na si Madrid tu kwa kipindi hichoKwa hiyo kwa maneno yako wakati Real Madrid waliposubiri miaka 30 kushinda tena CL toka 66 mpaka 98 walikuwa wabovu? Real ni team kubwa hata miaka hiyo japo hawakuweza kuchukua ubingwa. Barca ina history team kubwa wameanza kuchukuwa CL 92 miaka yote zero. CL ni circle tu kila mtu anapita halafu anapotea. League bora ni league ya ushindani ila watu humu tuko katika CL. Ukifika knock out stage hata ukiwa mzuri unaweza ukapigwa na team ya kawaida.
Mkuu hao wote unaowasema wazur wanatamani kwenda kucheza league bora (laliga) Coutinho na De Gea ni mfano wa watu wanaonganganiwa lkn wanataka kwenda kwenye mpira unaoendana na kiwango ChaoKwani Ukitoa Messi na Suarez Ndani Ya Laliga Ni Nani Anayeweza Kusimama na Pogba, Harzad, Coutinho, Mo Salah, Kante na Degea?
Hivi Kama Kwanini Real Wamtake Henry Kane Wakati Spain Kuna Wachezaji Bora Kuliko Yeye?
Kwanini Barcelona Wamtake Coutinho Wakati Spain Kuna Wachezaji Bora Kuliko Yeye? Si Waende tu Malaga au Getafe Wakachukue Mchezaji Mzuri Kuliko Coutinho?
Kwanini Wammezee Mate De Gea Wakati Kina Bilbao Wana Wana Wachezaji Wazuri?
Shoga Miss Ronaldo Wanaume Washammaliza Hamna Kitu... Tayari hapo Nusu ya Image Ya Ligi Yenu imepotea...
Neymar Kaondoka! Tayari Nusu ya image Yenu Nyengine imepotea...
Sasahivi Kabaki Mfalme Wa Wafalme Wa Soka Mchawi anaeunyanyasa Mpira Kama remote Control King Sir His Majesty Emperor Messi Peke Yake Ndiye anayebeba image Ya Ligi Yenu...
Na Akihama Messi tu Spain Nyote Mutarudi EPL manake Hakuna Hata mmoja Kati Yenu anaehamu ya Kumtazama Inaki Williams...
Sasahivi eti Munajikakamua Kuwataka ICONS Wa EPL kina COUTINHO, HARZAD, DE GEA, KANE na DELE ALLI ili muifufue Ligi Yenu inayodidimia...
Mkuu hiz timu kama Barcelona na Real ni timu ambazo ni kubwa mno kutokana na investment yake so hata ukizileta epl lazima zitawaacha mbali wenzake kama ilivyo huko laliga lakin haimaanishi zilizobaki ni mbovu kwani sevilla huoni imefanya vizuri sana kwenye europa league. Huko epl timu haziachani sana kwa sababu investment zinakarbiana lakin haimaanishi kwamba ndo zinakuwa boraLIGI BORA NI YA UINGEREZA KUTOKANA NA USHINAGANI WA TIMU NA TIMU-LIGI KAMA ZA SPAIN,ITALY,GERMANY NA FRANCE NI LIGI AMBAZO ZINA BAADHI YA TIMU BORA NDANI YAKE LAKINI HAIMANISHI LIGI HIZO NI BORA.
Mara ya mwisho team ya EPL kuchukua UEFA ni lini?Kwa Mara Ya Kwanza Yaandikwa Rekodi Kwa Nchi Moja Kuingiza Timu 5 hatua Ya 16 bora Katika UEFA Champion League...
Ligi Kuu Ya EPL nchini Uengereza imefanikiwa Kuingiza Timu 5 kati ya 16 zilizofuzu Katika Hatua ya Last 16 jambo ambalo halijawahi Kufanya na Nchi Yoyote hile Katika Sayari Hii...
Na Nafasi Hizi Tano za Kushiriki Champion League Waingereza Hawakupewa Kwa Upendeleo, Bali Wamezitafuta Kwa Jasho lao.
1) Spurs (Kaongoza Kundi)
2) Man United (Kaongoza Kundi)
3) Man City (Kaongoza Kundi)
4) Liverpool (Kaongoza Kundi)
5) Chelsea (Nafasi Ya Pili)
Na ikumbukwe Kuwa Bingwa Wa Laliga (Real) Katika Kundi Lake Kagalagazwa Na (Spurs) Timu inayoshika Nafasi ya 6 kwenye EPL....
Ni WanaLaliga 2 (Real na Sevilla) Walikutana na WanaEPL 2 (Spurs na Liverpool) respectively Katika Makundi Yao Lakini Hawakuweza Kufurukuta na Wakaishia Nafasi za Pili kila Mmoja.
Halafu Leo Wanatokea Misukule from Nowhere wanakwambia "LALIGA NI LIGI BORA UKILINGANISHA NA EPL"!!! Yaani Nashindwa Kujenga Picha sijui Ni Majani ya Wapi Wanayovuta hawa Jamaa... 😀😀😀
Ila?Kuingiza team knockout stage sio kipimo cha ubora wa ligi.
Mwisho.Kwa jibu hilo nafikiri saa hizi kashaenda kukojoa na kulala...7th December EPL wanasheherekea kuingizia timu 5 hatua ya 16,3rd June LFP watakuwa wanagonga mvinyo na wa kubebe Uefa mara 5 mfululizo.
Waulize, ikiwa Spurs kampiga bingwa mtetezi, nani atasogeza pua kwa Man City, Man U, Chelsea au Liverpool? Msimu EPL wako vizuri hao wababe tuache ushabiki.Bingwa Wa UCL Msimu huu Lazima Atatoka EPL trust me... Hao Laliga Wenu Yeyote Atakaekutana na Timu Ya EPL basi Ndiyo Mwisho Wa Safari Yake...
Epl ndio Ligi tamu. Mpaka uneshinda, unalala na viatu, sio la liga hiyo ni sawa na kombolela. Mechi za ushindani ni RM vs Barca, RM vs ATM, Barca vs ATM, za kawaida Villareal vs RM, Sevilla vs RM, Villareal vs Barca, Sevilla vs Barca, Villareal vs ATM, Sevilla vs ATM Valencia vs RM, Valencia vs Barca, Valencia vs ATM. Nyingine hizo ni nyanya. Uliza EPL.Hivi bigwa wa FUTUHI ni nani kwa sasa? Sio Manure kweli? maana naona unaponda Uropa League wakati kuna mijitu imewatoa hadi leo mnajitamba hapo.
Ukitaka burudani ya mpira angalia LA LIGA ukitaka kuangalia mboyoyo na kelele nyiiiingi nenda EPL
Hii ni nini?
Laliga Wana mambo ya kipuuzu
Atleti wamecheza fainali 2 za champions league na la liga moja ndani ya miaka mitatu..Ndugu yangu Valencia shughuli gani? Ni team ndio mwaka huu imeanza kurudi kwao ndani. Sevilla ni team za misimu tu zinakuja na zikipotea zinapotea vibaya kama deportivo. Athletico circle yao inaisha kama ile ya 1996. Ni team hazina muonekano kama wa Barca na Madrid. La liga ni team mbili tu hizo zingine kama mvua za msimu.
Wakati huo huo watu ambao wamekosa namba la liga huwa wanaenda England...Kwani Ukitoa Messi na Suarez Ndani Ya Laliga Ni Nani Anayeweza Kusimama na Pogba, Harzad, Coutinho, Mo Salah, Kante na Degea?
Hivi Kama Kwanini Real Wamtake Henry Kane Wakati Spain Kuna Wachezaji Bora Kuliko Yeye?
Kwanini Barcelona Wamtake Coutinho Wakati Spain Kuna Wachezaji Bora Kuliko Yeye? Si Waende tu Malaga au Getafe Wakachukue Mchezaji Mzuri Kuliko Coutinho?
Kwanini Wammezee Mate De Gea Wakati Kina Bilbao Wana Wana Wachezaji Wazuri?
Shoga Miss Ronaldo Wanaume Washammaliza Hamna Kitu... Tayari hapo Nusu ya Image Ya Ligi Yenu imepotea...
Neymar Kaondoka! Tayari Nusu ya image Yenu Nyengine imepotea...
Sasahivi Kabaki Mfalme Wa Wafalme Wa Soka Mchawi anaeunyanyasa Mpira Kama remote Control King Sir His Majesty Emperor Messi Peke Yake Ndiye anayebeba image Ya Ligi Yenu...
Na Akihama Messi tu Spain Nyote Mutarudi EPL manake Hakuna Hata mmoja Kati Yenu anaehamu ya Kumtazama Inaki Williams...
Sasahivi eti Munajikakamua Kuwataka ICONS Wa EPL kina COUTINHO, HARZAD, DE GEA, KANE na DELE ALLI ili muifufue Ligi Yenu inayodidimia...
Brother ukweli mchungu huo.Many U, Spurs, Man City, Liverpool, Chelsea na Arsenan V/S Real na Barcelona
Kuna Watu Vichaa Kweli... Hivi Ligi Yenye Timu Sita za Ushindani Unaifananisha Na Ligi Yenye Timu Mbili za Ushindani??? Ridiculous...
Wacheni Kuifananisha EPL na Mambo ya Kipumbavu!
Mbona unakuwa mwepesi wa kusahau mwanzoni mwa msimu Man U amekula ngap kwa Real??Waulize, ikiwa Spurs kampiga bingwa mtetezi, nani atasogeza pua kwa Man City, Man U, Chelsea au Liverpool? Msimu EPL wako vizuri hao wababe tuache ushabiki.
Una utani na mkuu wa nchi ya TanzagizaWadau mimi nampenda sana yule mwanamama waziri wa afya nikionaga anahutubia mimi baadhi ya viungo vya mwili vinasisimka sana, aliyekaribu nae naomba amfikishie salamu zangu!