Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Wahanga wakubwa ni walimu wastafu sijui kwa nini? Sisemi hili kwa ubaya nimeshuhudia wengi sana hadi nikafikiri pengine kutokana na kukaa na watoto(wanafunzi) muda mrefu kazini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waache walimu mzeewahanga wakubwa ni walimu wastafu sijui kwa nini? sisemi hili kwa ubaya nimeshuhudia wengi sana hadi nikafikiri pengine kutokana na kukaa na watoto(wanafunzi) muda mrefu kazini
Hili lazima liwe zee la HR ndio zao hizo.Halafu wale wazee wanoko ofisin ndio Huwa yanakuta Kama malipizi.
Pana Mzee alikua boss dar kawafukuzisha kazi watu wengi plus kuwachafulia mafaili wengine alistaafu akilipwa M 250 Leo ana kaanga chips mbagala ***** zimeisha alidhani akistaafu atalamba teuzi acheni unoko makazini maisha yanaendelea tu hata baada ya kustaafu.
Nataka nikamtafute nimpongeze kwa kufungua kijiwe Cha chips.
Unoko plus ndumba Leo unauza chips
🙄Duu! Danguro tena?Afungue danguro hatojuta
ni kweli mazigazi,lakini nimezungumza kwa nilichokishuhudia si kwa ubaya ndio sababu nililitanguliza hilo kablaWaache walimu mzee
Wastaafu wote wa serikalini hukumbwa na haya mambo sababu hawafanyi biashara
Nimecheka sanaKuna mzee pale kimara baada ya kustafu alilamba milioni zake kadhaa akajenga fremu kibao za kisasa.
Hajakaa sawa mZiLaNkeNdE akaanza kubomoa nyumba pale kimara
Kuna like ghorofa pale stop over haijaisha hadi wanadai mzee alipanda juu atajitupa chini ikawa mwisho wa mchezo.
Mwengine huyu mzee wa miaka 70+ mstaafu wa serikali cheo kikubwa tu Ile 2015 wakati wa kampeni nilikaa nae ananiuliza kijana unataka nani ashinde nikamwambia mzee Bora mamvi apite ila sio huyo jamaa mwingine mzee akacheka saaana na kuponda weew
Akasema vijana bhana hamjui tu hapa mZiLaNkeNdE ndio Yuko vizuri basi mi sikubisha sana.
Mzee alikuwa na nyumba zake za kupangisha pale kimara mZiLaNkeNdE akapita nazo zote [emoji1]
Mzee alikuja ambulia mabati na grill za madirisha Hela ya kustaafu
Siku hizi hataki hata kumsikia mZiLaNkeNdE [emoji1]
Pana mama alikua shabiki wa mwendazke alikuwa kada akiimba mtaisoma namba alipigwa mbili bila akaishia stroke, alilambwa nyumba zake akalambwa vyeti feki ofisini.Kuna mzee pale kimara baada ya kustafu alilamba milioni zake kadhaa akajenga fremu kibao za kisasa.
Hajakaa sawa mZiLaNkeNdE akaanza kubomoa nyumba pale kimara
Kuna like ghorofa pale stop over haijaisha hadi wanadai mzee alipanda juu atajitupa chini ikawa mwisho wa mchezo.
Mwengine huyu mzee wa miaka 70+ mstaafu wa serikali cheo kikubwa tu Ile 2015 wakati wa kampeni nilikaa nae ananiuliza kijana unataka nani ashinde nikamwambia mzee Bora mamvi apite ila sio huyo jamaa mwingine mzee akacheka saaana na kuponda weew
Akasema vijana bhana hamjui tu hapa mZiLaNkeNdE ndio Yuko vizuri basi mi sikubisha sana.
Mzee alikuwa na nyumba zake za kupangisha pale kimara mZiLaNkeNdE akapita nazo zote [emoji1]
Mzee alikuja ambulia mabati na grill za madirisha Hela ya kustaafu
Siku hizi hataki hata kumsikia mZiLaNkeNdE [emoji1]
Nusa nusa huwa nadhani kuwa ni wajanja yaani inteligent, sasa aliliwaje kindezi namna hiyo?Dah, kuna mzee nusa nusa wa mjini, walimkomba 150, wanawake walimfilisi akajikuta hata kibanda hajajenga na ilikuwa ndio fainali yake, mwisho wa siku wanasingizia Ile hela ina uchawi
The higher the risk the higher the profit.🙄Duu! Danguro tena?
Hapo Kwa Manabii wastaafu wakina mama ndiyo wanapigwa vibaya.Watu hawana huruma na wastaafu, huwapa michongo ya pesa wanaishia kufa kwa pressure. Ukistaafu idea nyingi sana unaletewa na ndugu.
Pana mstaafu alipata milion 250. Shemeji yake akamwambia tufate pikipiki China ukileta kwa jumla pesa ipo, akampa pesa shemeji yake akalala nazo kona China, hadi wa leo hata kama alirudi nchini kimya kimya siri yake.
Pana mstaafu aliambiwa trekta zinalipa akapigiwa hesabu na motivator akaingia dukani akachukua trekta mbili mpya kwa milion 90 leo zipo juu ya mawe zinaliwa na kitu, amekosa pesa za kununua spea.
Mwingine aliambiwa daladala zinalipa akazinunua akaishia kushinda stand anahesabu tripu Kila ikipita. Ukistaafu achana na biashara, nunua bond au weka fixed nje ya nchi mfano Canada, USA au zile stable country ule gawio kila baada ya muda, umeshindwa sana jenga chumba sebule chumba sebule gombana na wapangaji maisha yasonge.
Kisha tafuta shamba mikoani acha familia mjini weka kasikilize sauti za ndege tu porini unalima kilimo kisicho cha biashara ili kufanya mazoezi tu utafika miaka 100, pia kaa mbali kabisa na hawa mitume na manabii watakufilisi.
Pana mama yupo kitandani mwaka sasa anaumwa, aliambiwa biashara fulani inalipa alikuwa na nyumba zake 4 alijinyima akiwa kazini kujenga, akaingia bank akazikopea milion 200 baada ya muda biashara ikawa hasara bank wanataka hela zao.
Bora upoteze pesa ujanani una nguvu kuliko kupoteza uzeeni, zikienda zimeenda.