SOMO LA BURE: Namna ya kuagiza bidhaa kutoka CHINA kwa ajili ya biashara (jumla) Kupitia Mtandao alibaba kwa kutumia simu yako

wachina wahuni sana, unachagua bidhaa zenye quality standard fulani ukijisahau unachanganyiwa na zenye quality hovyo
 
Nina kiasi zaidi ya hicho wewe ni mpumbavu ndio maana haujui uchungu wa pesa
Kuwa na pesa sio akili.... na wewe pesa yako wala haijakutolea funza wa ushamba kwenye akili yako.....
Kaa na ushamba wako acha wenye kujua utandawazi wautumie vyema.
 
Nimepata mkanganyiko

Paypal na kufanya malipo kutoka benk zinaunganishwaje
 
Nimepata mkanganyiko

Paypal na kufanya malipo kutoka benk zinaunganishwaje
pay pal ni kampuni inayojitegemea na ndio rahisi zaid kufanya malipo.
unaingia kwenye website yao unajisajili kisha zile taarifa za kadi yako ya benki unaziweka paypal.
ina maana unapohitaji kufanya malipo na paypal pesa inachukuliwa bank moja kwa moja...
 
Kwa mfano nahitaji tv piece moja tcl 43 inch inaweza kunigharimu shiling ngapi mpaka kuifikisha ndani
 
Safi sana.
Nimeagiza projector kupitia Alibaba kwa mara ya kwanza, na nimeshailipia lakini status bado haijafanyiwa shipping, nina wenge kimtindo kutokana na ugeni wa hii online business.
Vipi ulipata bidhaa
 

 

Attachments

  • Screenshot_20241011-112244.png
    117.1 KB · Views: 26
  • Screenshot_20241011-112239.png
    116.6 KB · Views: 30
Kaka hapa Hawa sio madalali ??a
anaweza kuwa mtu wa sales ila anapokea taarifa kutoka watu wa warehouse.
Hapo wewe angalia profile ya hiyo kampuni angalia wapo alibaba kwa muda gani hakikisha kuanzia miaka 2 na kuendelea ni salama zaidi.

angalia ameshauza oda ngapi na review za wateja wanasemaj kuhusu bidhaa zake
 
Asante sana kwa hii elimu
 
Vipi Kuhusu Makato na maaanisha Kwenye Virtual Card naona Kuna Ada na VAT Huko kukoje ..?
 
wachina wahuni sana, unachagua bidhaa zenye quality standard fulani ukijisahau unachanganyiwa na zenye quality hovyo
hujafuata taratibu za kujua ni suppier gani wa kufanya naye biashara.
ukiingia kichwa kichwa ni lazima uliwe kichwa..
 
Vipi Kuhusu Makato na maaanisha Kwenye Virtual Card naona Kuna Ada na VAT Huko kukoje ..?
kwa siku za hiv karibuni 1 usd ni kama 2850 hivi...hakuna charges zingine..
hapo namaanisha ukitumia paypal ila kwa wanaotumia mitandao ya simu unaweza kuta ikafika hata 3,000 kwa 1 usd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…