Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi inawezekana kununua gari kupitia hawa jamaa?karibu sanaa
Nijikuta ghafla nikicheka kutokana na ujumbe huu.Niwe na milion 20 halafu nifanye biashara na nisiyemuona huo ni ujinga wakutupwa
Kwanini mkuuNijikuta ghafla nikicheka kutokana na ujumbe huu.
Mkuu,pay pal ni kampuni inayojitegemea na ndio rahisi zaid kufanya malipo.
unaingia kwenye website yao unajisajili kisha zile taarifa za kadi yako ya benki unaziweka paypal.
ina maana unapohitaji kufanya malipo na paypal pesa inachukuliwa bank moja kwa moja...
Ujumbe umeonesha kuwa una msimamo mkali sana.Kwanini mkuu
ahahaa hautaki ile ya beby zima taa tule tunda, mambo ya gizaniNiwe na milion 20 halafu nifanye biashara na nisiyemuona huo ni ujinga wakutupwa
wewe ni tapeli yaani unatoa amaelezo halaf unakuja kujiuliza kwa ID ile ile as if ni mtu mwingineKampuni yenu inatoza Kwa CBM( CUBIC METER)- SEA CARGO
nasisitiza wewe nitapeli jikeNdio
General goods- 1 CBM NI 350 usd,sensitive goods 400usd na heavyweight goods ni usd 350 usd
Mkuu samahan nmekuelewa vizur lakn nina swali je anae upeleka mzigo uko upande wa china ninani? Sabu kama makampuni ya alibaba au alixpres sizan ka.a wanaweza fanya ivyoMzigo ukifika utapokea ujumbe kwenye simu yako kuwa mzigo umeshawasili na kukutaka ufanye malipo na baada ya hapo unaenda kwenye warehous(godown) la kampuni uliyosafirishia kuchukua mzigo wako ukiwa na nakala za risti za malipo na risti ile uliyotumiwa na supplier alipofikisha mzigo wako(rist ya mzigo kupokelewa china kwenye godown unaonyesha kwa kutumia simu yako kama uliyotumiwa na supplier)
Wakuu asanteniUzi poa sana kaka, ziko site nyingine zenye bei chini ya Alibaba kama 1688, Pinduoduo n.k
Kwa products zenye quality uhakika, mtu anaweza check taobao.
Tatzo la site nyingi zenye bei nzuri, zina tumia kichina tupu..so uta hitaji translator….
Lakini kwa kuanzia, hapo si pabaya….
Mtu ukijimudu pia ni vyema ukafika china mwenyewe….kule utakuta pia baadhi ya bidhaa bei ni hata nusu ya hizi za alibaba na sites nyingine… issue n upatkanaji wa masoko….wabongo wengi hawatoi code….
Pia masoko yako mbali mbali sana….so uta hitaji mtu wa kukuguide….mimi niliemda kichwa kichwa, nikapoteza mwezi mzima hola….ila round 2 ikabidi nipate mchina, mambo ndo nika yafurahia.
Tukaze wakuu….ukimaster hizo site, unaweza save pakubwa sana, ukicompare na kununua hapa bongo.
NB: Zipo baadhi ya products tayar wachina wana agents bongo…so ukienda hawato kuuzia…. Ni vyema kujua pia hilo, usije fata hewa.
Tuendelee peana nondo.
Mzigo ukiwa under 1 CBM nagawanya vp kujua gharama zako ,mfano mzigo Una CBM 0.0145 ? Naomba kujuaNdio
General goods- 1 CBM NI 350 usd,sensitive goods 400usd na heavyweight goods ni usd 350 usd
hugawanyi bali una zidishaMzigo ukiwa under 1 CBM nagawanya vp kujua gharama zako ,mfano mzigo Una CBM 0.0145 ? Naomba kujua
Shukranihugawanyi bali una zidisha
1 Cmb = usd 450
0.0145 Cbm = usd ?
Usd ? = 450 usd/Cbm * 0.0145 = 6.525 Usd
Kwa mafunzo zaidi juu ya namna ya kuagiza bidhaa za biashara au matumizi binafsi 0677818283 (whatsapp)
Kwa alibaba wanafanya ukishajadiliana nae mumemalizana na unampa adress ya agent wako anakuambia ghalama za usafiri hadi warehouse ya agent wako hapo wewe ni kulipia tu mambo tayari. Utajulishwa mzigo ukifika au utamwambia akupe detail za mzigo unamjulisha agent wako .nimefanya hivi mara nyingi na mizigo inafika bila shidaMkuu samahan nmekuelewa vizur lakn nina swali je anae upeleka mzigo uko upande wa china ninani? Sabu kama makampuni ya alibaba au alixpres sizan ka.a wanaweza fanya ivyo