SOMO LA BURE: Namna ya kuagiza bidhaa kutoka CHINA kwa ajili ya biashara (jumla) Kupitia Mtandao alibaba kwa kutumia simu yako

Mkuu,
Ingefaa uwe na huduma ya kusaidia watu kuagiza vitu
 
Mkuu samahan nmekuelewa vizur lakn nina swali je anae upeleka mzigo uko upande wa china ninani? Sabu kama makampuni ya alibaba au alixpres sizan ka.a wanaweza fanya ivyo
 
Wakuu asanteni
 
Mzigo ukiwa under 1 CBM nagawanya vp kujua gharama zako ,mfano mzigo Una CBM 0.0145 ? Naomba kujua
hugawanyi bali una zidisha

1 Cmb = usd 450
0.0145 Cbm = usd ?

Usd ? = 450 usd/Cbm * 0.0145 = 6.525 Usd

Kwa mafunzo zaidi juu ya namna ya kuagiza bidhaa za biashara au matumizi binafsi 0677818283 (whatsapp)
 
Mkuu samahan nmekuelewa vizur lakn nina swali je anae upeleka mzigo uko upande wa china ninani? Sabu kama makampuni ya alibaba au alixpres sizan ka.a wanaweza fanya ivyo
Kwa alibaba wanafanya ukishajadiliana nae mumemalizana na unampa adress ya agent wako anakuambia ghalama za usafiri hadi warehouse ya agent wako hapo wewe ni kulipia tu mambo tayari. Utajulishwa mzigo ukifika au utamwambia akupe detail za mzigo unamjulisha agent wako .nimefanya hivi mara nyingi na mizigo inafika bila shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…