SOMO LA BURE: Namna ya kuagiza bidhaa kutoka CHINA kwa ajili ya biashara (jumla) Kupitia Mtandao alibaba kwa kutumia simu yako

Hivi inawezekana kununua gari kupitia hawa jamaa?
umeingia ukatafuta gari ukakuta yanauzwa?..
usiulize ingia fanya utafiti kisha njoo na mrejesho ili watu ndio wajue namna ya kukusaidia kuanzia hapo ulichokiona
 
Hili tangazo umelipia sh ngap? Nimependa Jinsi ulivyojitangaza, hongera sana😊
 
Madini mazuri sana mkuu,tunashukuru VP pia kuhusu kuagiza bidhaa nchi kama Korea,uturuki,Dubai waweza tupa machimbo ya sites kama wafahamu
 
Alibaba ni kwa ajili ya wauzaji wa jumla hasahasa na AliExpress ni kwa ajili ya reja reja
 
Chukua machimbo ya biashara ukafanye biashara (Namba za simu 600 za machimbo na location zake)!

KINAUZWA
Kitabu cha Machimbo ya Biashara
Kitabu chenye machimbo 600 ya biashara kwa TSH 15,000 tu!

Kitabu hiki kina namba za simu 600 za wauzaji wa bidhaa kwa bei nafuu, jumla na rejareja.

Jinsi ya kukipata WHATSAPP: 0612607426
CALL: 0687746471

Unaweza kupakua kitabu hiki kupitia link hii:

Kwa msaada wa kupakua, wasiliana kupitia:
WhatsApp: 0612607426
Call: 0687746471

Kitabu kina sura 68 kama ifuatavyo:

Sura ya 1 hadi 5: Machimbo ya nguo za watoto, vifaa vya ofisini (stationery), vifaa vya ujenzi (hardware), dawa (pharmacy), na vinywaji.

Sura ya 6 hadi 10: Kahawa, maremba, vifaa vya mazoezi, miwani, na nywele bandia kama rasta na wigs.

Sura ya 11 hadi 20: Shati za shifoni, viatu, kofia, gauni za usiku, vitambaa vya masofa, hereni na cheni, vyombo vya jikoni, na vifaa vya michezo.

Sura ya 21 hadi 30: Pajamas, balo za mitumba, masweta, maturubai, pipi, jeans, jezi, na vifaa vya kufungashia.

Sura ya 31 hadi 40: Toys, T-shirts, diaper, bidhaa za supermarket, manukato, madera, mitandio, abaya, hijabu, na vitenge.

Sura ya 41 hadi 50: Khanga, vitambaa vya kushona, vipodozi, nguo za watoto, pochi, vifaa vya simu, mikeka, bidhaa za wachina, na sufuria sets.

Sura ya 51 hadi 60: Chupa za maji, midoli, lubricants za magari, maduvets, mashuka, mapazia, majora ya mapazia, T-shirts zinazotrend, na bidhaa za ubuyu wa Zanzibar.

Sura ya 61 hadi 68: Maua artificial, pipi, vifaa vya masofa, bidhaa za mitumba, vifaa vya kuandaa keki, na bidhaa kutoka kwa wachina moja kwa moja.
 
nzuri
 
Hivi naweza safirisha bidhaa za hardware kupitia alibaba. Je kuna unafuu au bora nifungashie hapa bongo
 
Unafuu upo mkubwa sana rejea uzi kwa utaratibu ...ingia alibaba tafuta bidhaa utaona tu unafuu
Hivi naweza safirisha bidhaa za hardware kupitia alibaba. Je kuna unafuu au bora nifungashie hapa bongo
 
Masuala ya upitishaji mizigo inayoingia nchini...hapo inahusisha mambo ya ushuru na kodi za kutoa mizigo
Ko ukiagiza mzigo ushuru unalipia mwenyewe nimejaribu item moja wameniambia nifanye custom clearance
 
Ko ukiagiza mzigo ushuru unalipia mwenyewe nimejaribu item moja wameniambia nifanye custom clearance
Ukiagiza kupitia agent yeye ndio ataclear kila kitu lakin ukiagiza mwenyewe na uka upokea wewe mwenyewe utalipia
 
Tumia agent...
kwakuwa hata kabla mzigo haujafuka anakupa bei ya kusafirisha mpka mzigo unautoa unakabidhiwa ina maana utajua huu mzigo una faida au hasara kabla hata kujanunua
Mfano agent wa hii kitu nampataje
 

Attachments

  • Screenshot_20241219-192824.png
    409.5 KB · Views: 14
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…