SOMO LA BURE: Namna ya kuagiza bidhaa kutoka CHINA kwa ajili ya biashara (jumla) Kupitia Mtandao alibaba kwa kutumia simu yako

Mkuu naomba kuelekezwa hapo nakosea wapi,ukiangalia hiyo bei ya product ni tsh elfu tisa na point lakini nikitaka kununua bei inakuwa kama inavyoonekana hapo chini pamoja na shipping fee,mbona gharama inapanda sana mpaka laki na zaidi?
 
Hizi mada hazipendwi na wabongo zaidi ya za ngono,mpira na muziki.
Unakuta mtu analia umasikini,sijui ajira,sijui nini kumbe kajifungia ufahamu wenye kutafuta maaarifa Hawalii njaa Dunia IPO kiganjani mwao.
Shida ya bongo sio umasikini Bali ni information gap
 
Nawapataje
Hapa Dar ofisini zetu zipo kigamboni
Warehouse Address:YIWU Warehouse Enter code) Entering Wang Number😀Y777
Contact number +255672294359
Kwa china Address ni
Room 1507,Building A,Shuguang Building,YIWU,Financial Business District,YIWU city
Contact number +8615057912827
Zhejiang Dingyuan International Freight Forwarding Co,ltd
 
Tanzania imegeuka kuwa Jalala Kubwa kabisa hapa duniani la Takataka kutoka nchini China.
 
hapa inaonesha kuanzia pc 2 ni 10,292... ila kuanzia pc 10,000 ndio elfu 9...

achana na shipping yao .... hapo unanunua bidhaa tu shipping unatafuta agent wa bongoo
 
Pia mkuu Masterchief ninakushukuru saana kwa uzi making.

Nina mdogo wangu anamaliza chuo mwaka huu ninamtumia link ya huu uzi asome kila kitu then nitampa pesa kidogo aagize ninchotaka ili ajifunze baadae tuifanye kuwa fursa
karibu sanaa
 
Mkuu bidhaa kama laptop gharama za usafiri zinategemea uzito au CBM?
ni wew tu lakin jua ukitumia kg usafiri utakuwa wa haraka ila gharama ni kubwa sanaa
na CBM ni meli usafiri unachelew ila ni bei nafuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…