SOMO LA BURE: Namna ya kuagiza bidhaa kutoka CHINA kwa ajili ya biashara (jumla) Kupitia Mtandao alibaba kwa kutumia simu yako

SHUKRAN SANA MKUU
 
Mkuu MASTERCHIEF 255 ,nini hupelekea bei ya usafirishaji wa bidhaa inakuwa mara kumi ya bei ya bidhaa lengwa,na ni mbinu gani nitumie kuepuka kadhia hiyo?

Angalia hiyo pressure cooker inauzwa 90K ila gharama za usafirishaji ni 600K
Kaka hio ni website ipi ilio weza kuku letea bei ya bidhaa na usafirishaji kwa pamoja
 
Safi sana.
Nimeagiza projector kupitia Alibaba kwa mara ya kwanza, na nimeshailipia lakini status bado haijafanyiwa shipping, nina wenge kimtindo kutokana na ugeni wa hii online business.
Nashukuru mzigo ulifika salama kabisa kupitia FedEx jamaa wako vizuri sana ase. Kwanza wanajali muda lakini tracking na notifications zinaenda vizuri sana.
 
Uzi umenifunguwa sana ktk usafirishaji,
Shamwaa ndo wazuri wanacalculate kbs ila kwa cbm ni cheap sana aisee 1kg equal to 0.001cbm 10kg equal to 0.01cbm ambapo ni usd 5 tu ila kwa air ni ghali kidg,
 
Nataka nijue hii kwanini usafiri Alibaba ni ghali mno ? Yani ukitaka sample ata saa ya $2 pc 1 seler atakwambia kuhusu agent wa usafiri

akifanya calculation zake ajabu inakuja samp $2 usafiri $50
Tofauti na Ali express unachukua mzigo labda flash ya $2 pc1 na unakuta usafir labda 800 na unalipa chap Kwa Kesho Tu email hii mzgo upo njiani

lakini hizi zote ni za China Ali express na Ali Baba

lakini
Ukitaka simu ya $100 pc1 Alibaba usafiri inakuja mpaka $150
Lakini Ali express hii ya $100 unakuta usafir labda $10 or 15 kwanin inakua hivi ?
 
Ulikuwa n Kwa njia ya meli or
Ilikuwa ni kwa njia ya meli possibly, though I am not sure kwa sababu nilikuwa nafanya tracking tu.
 

Attachments

  • Screenshot_2024-05-26-09-20-20-26_751406261907763dc14a9392538169a4.jpg
    154 KB · Views: 57
Mkuu naomba ufafanuzi, binafsi nimedownload app alibaba na nimeingia, nikakutana na bei hizo penye mishale.

Hizo ni bei halisi au kuna mahesabu yanapigwa tena hapo?
 

Attachments

  • Screenshot_20240625-002418.jpg
    466.2 KB · Views: 48
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…