SOMO LA BURE: Namna ya kuagiza bidhaa kutoka CHINA kwa ajili ya biashara (jumla) Kupitia Mtandao alibaba kwa kutumia simu yako

Ooh
 
Uzi mzuri sana. Nilitaka kununua mzigo alibaba mwaka 2020. Supplier akanitaka nilipe kwa Western Union.
Nilipoenda CRDB kulipia na kuchange Madafu kwenda Dola yule Mhudumu alinitia hofu sana.

Alinambia nitapigwa niache kabisa biashara hizo...ikabidi niache.
Ule mzigo nikaenda kuagiza kwa Agent mwenye Ofisi hapa Tz na China.

Yule Mswahili sitomsahau alinilete bidhaa zenye ubora wa chini sana pamoja na kwamba nilimpa specifications za kutosha.
 
Hii njema vipi sisi tuna
Mkuu hii ni njema sana vipi sisi ambao sio wafanyabiashara yaani tunahitaji vitu tofauti tofauti vya thamani hata m1 tu mfano humohumo kuwe na vyombo,nguo,simu, bufa nk inawezekana pia?
 
Madini na updates ziedelee kushushwa
 
Hizo ndio hatua utakazohitajika kufuata ili kuweza kuagiza mzigo wako kutoka kwa wazalishaji china mpaka kukufikia Tanzania
Maelezo mazuri sana, hongera sana kwa kuweka hatua moja baada ya nyingine.
Nina swali, Mzigo ukishafika Tanzania ukokotoaji wa kodi unakuwaje?
Maana unaweza ukalipa kila kitu mzigo ukafika Tanzania halafu ukashindwana na TRA.
 
Hili ni somo la biashara umetoa na umeeleza vizuri sana. Kwa somo hili, mtu atakayeamua kuzingatia kwa dhati, bila shaka ataenda kubadili maisha yake.

Ova
 
Sawa,
Nimekusoma.

Umeandika vizuri sana, ila Kuna kitu umesahau kidogo. Ikiwa mnunuzi umeamua kununua kupitia Alibaba (Trade Assurance) lakini muuzaji anakulazimisha umlipe nje ya mfumo wa Alibaba basi shtuka hapo unaweza kuibiwa.

Pia Alibaba kama ulivyosema ina sehemuyya kuchat. Ikiwa muuzaji anakupa Whatsapp number na kukulazimisha mchati nje ya mfumo wa Alibaba basi napo shtuka pia. Au anakupa hata utaratibu mwengine kama email au Facebook basi hapo shtuka pia.

Na ikitokea ukakubaliana nae katika hayo mawili hapo juu (mawasiliano+ malipo) nje ya mfumo wa Alibaba basi lolote (kama kutapeliwa au kupewa mzigo wa tofauti ikiwemo ubora mdogo) likitokea linakua ni juu yako mnunuzi, Alibaba hawatohusika.
 
Uzi umenifunguwa sana ktk usafirishaji,
Shamwaa ndo wazuri wanacalculate kbs ila kwa cbm ni cheap sana aisee 1kg equal to 0.001cbm 10kg equal to 0.01cbm ambapo ni usd 5 tu ila kwa air ni ghali kidg,
Hakuna uwiano wa ki hesabu kati ya KG (Uzito) na CBM (Ujazo). Ni vitu visivyohusiana kabisa.

Zinahitajika CBM chache za chuma kujaza kilo moja kuliko zinavyohitajiia CBM za plastic kujaza hiyo hiyo kilo moja.
 
Gharama zao nafuu lakin
 
1. Mkuu vipi natumia NMB,labda na mitandao ya kawaida katika ishu za Money transaction vipi PayPal nitajiunga kupitia hizo huduma.Ama
2.Kuhusu wasafirishaji mapatano na usafirishaji hawahusiani na Suppliers wako
 
Kwenye kijaza address Yako kuna post code hiii post code ni Nini na vipi kama huna pobox haswa kwa sis tunaoishi uswahili?!!
sijui kwa mitandao mingine ..ila mm natumia alibaba na muuzaji atakuuliza una agent china ili umpe address ya sehem atakapopelek mzigo..

Sidhan kama wanalazimisha utumie agent wa
 
Item subtotal ni 200000 ila estimated shipping fee nakutana na 6000000 hii imekaaje mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…