Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Kununua Drimulaina tena kwa cash bila kusahau kutupeleka Uchumi wa Kati.Hivi ni mazuri gani ya Mwendazake zake yanayosemwa.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kununua Drimulaina tena kwa cash bila kusahau kutupeleka Uchumi wa Kati.Hivi ni mazuri gani ya Mwendazake zake yanayosemwa.?
Alikuwa mwehu yule, bila kujadiliana na wataalamu na wadau akiamka kitandani ni matamko yasiyo na mashiko kila kukicha, nchi haiendeshwi hivyo!Hayati Magufuli naona kaangukia pua tena
Somo la historia ya Tanzania lasitishwa
Katibu mkuu wizara ya elimu amesema syllabus hiyo imesitishwa haraka na haitafundishwa kokote.
Source ITV news
==============
Waziri wa elimu Prof. Ndalichako amesitisha maboresho ya mtaala wa somo historia ambao ulianzishwa na Magufuli. Mtaala huo wa somo la historia ungeanzisha kufundisha somo la historia kwa kiswahili tangu madarasa ya awali hadi chuo kikuu. Waziri Ndalichako ameagiza kuendelea kutumia mtaala wa zamani hadi mtaala mpya utakapoandaliwa kwa kushirikisha wadau.
Source: ITV
Sijui Magufuli anajisikiaje huko aliko kwa sababu maagizo yake yanatupiliwa mbali kila kukicha!
shukrani nitafanyia kazi wazo lakoWamekatazwa / tumekatazwa ?
Hata wewe hapo leo unaweza ukaamua ku-dedicate muda wako na maisha yako kuchimba / kufuatilia na kuandika na kuweka records..., Kama purpose ya maisha ya wengi ni kutafuta pesa tu na kuangalia ni vipi watajaza matumbo yao unadhani vitu kama hivyo atavifanya nani ?
Andika wewe kama kinafaa na kikiwa authenticated na balanced hata mashuleni watakitumia kama reference
Assad ali-copy toka kwa President ObamaProf Assad alikuwa sahihi aloposema, tujenge taasisi imara na sio watu imara sababu watu wanakufa na mawazo yao lkn taasisi zinaendelea.
Hilo jitu lilikuwa la hivyo kabisa. Why special attention to historia pumbavu kabisaHayati Magufuli naona kaangukia pua tena
Somo la historia ya Tanzania lasitishwa
Katibu mkuu wizara ya elimu amesema syllabus hiyo imesitishwa haraka na haitafundishwa kokote.
Source ITV news
==============
Waziri wa elimu Prof. Ndalichako amesitisha maboresho ya mtaala wa somo historia ambao ulianzishwa na Magufuli. Mtaala huo wa somo la historia ungeanzisha kufundisha somo la historia kwa kiswahili tangu madarasa ya awali hadi chuo kikuu. Waziri Ndalichako ameagiza kuendelea kutumia mtaala wa zamani hadi mtaala mpya utakapoandaliwa kwa kushirikisha wadau.
Source: ITV
Sijui Magufuli anajisikiaje huko aliko kwa sababu maagizo yake yanatupiliwa mbali kila kukicha!
Mwalim Mamdenyi naona umeshukuru maana walitaka wawaongezee mzigo wa masomo.Afadhali
Magu alitaka atengeneze Somo la historia yake, hakuwa na lolote kama walitaka historia ya kweli mbona historia kumuhusu sokoine inafichwafichwa waimwage hadharani tuisome, kwa nn hawaiweki wazi?Sio kweli lakini Hayati alisisitiza Historia ya kweli ya Taifa letu sio kwa bahati mbaya cos kuna mambo mengi yanamkanganyiko mpaka leo moja wapo kifo cha Mkwawa na pia Mapinduzi ya Zanzibar
Wacha we!Kuna watu walikula maposho kuandaa mihutasari ili tu jina la Jiwe ling’ae
Kuna muimbaji pambio mmoja humu JF 2020 February tulibishana hapa nikamwambia Hilo somo hata likifundishwa Leo siku JPM akiondoka madarakani litafutwa, alinitolea povu kama amekunywa sumu ya kuulia wadudu waaribifu WA pamba maarufu kama thiodan. Mara Paap JPM katwaliwa na somo limefutwa namtafuta nimkubushe bahati mbaya sikumbuki ID yake. Nilitamani kumwambia ajaribu kuangalia mambo Kwa jicho la tatu na si Kwa ushabiki Tu, dunia unaenda Kasi Sana, Leo Sabaya ananyea ndoo Mdude anakuwa millionaire ghafla.Hayati Magufuli naona kaangukia pua tena