HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Jiwe akuambie kitu ukataeIla Profesa Ndalichako aliyapokea maagizo kwa heshima na unyenyekevu mkubwa! Ilikuwaje alishindwa kumshawishi Bosi wake kuhusu huo upuuzi!
Na kama Bosi angemkatalia, si angejiuzulu! Au kukubali kufukuzwa Uwaziri na ikibidi hata Ubunge wake wa kuteuliwa kwa heshima! Ila kwa sababu ya njaa, akaamua kuweka taaluma yake pembeni na kuamua kupokea kila aina ya maagizo! Yakiwemo haya ya hovyo!
Njaa na unafiki ni vitu vibaya sana.
Hutaajiriwa popote Tz, wewe na ndugu zako na benki hutakuta kitu na kila mradi lazima TRA, NEMC,TBS waje