Kubali kuwa hujui historia wanayoongelea na ifundishweje kusudi ueleweshwe vizuri. Usionyeshe ulivyo kichwani!Kwani kabla ya huo mtaala alioutaka jiwe historia ilikuwa haifundishwi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kubali kuwa hujui historia wanayoongelea na ifundishweje kusudi ueleweshwe vizuri. Usionyeshe ulivyo kichwani!Kwani kabla ya huo mtaala alioutaka jiwe historia ilikuwa haifundishwi?
Noma kweli !Waziri wa elimu Prof. Ndalichako amesitisha maboresho ya mtaala wa somo historia ambao ulianzishwa na Magufuli. Mtaala huo wa somo la historia ungeanzisha kufundisha somo la historia kwa kiswahili tangu madarasa ya awali hadi chuo kikuu. Waziri Ndalichako ameagiza kuendelea kutumia mtaala wa zamani hadi mtaala mpya utakapoandaliwa kwa kushirikisha wadau.
Source: ITV
Sijui Magufuli anajisikiaje huko aliko kwa sababu maagizo yake yanatupiliwa mbali kila kukicha!
Mkuu haya ni masuala mazito ya nchi, sio ishu personal kati ya Ndalichako na MagufuliYaani hadi Professor Ndelichako anamsaliti Magufuli? Kweli?
Ni Magufuli aliyemuinua Professor Ndelichako kutokea benchi, akampa ubunge wa bure na zawadi ya uwaziri, leo hii bila aibu anaizika legacy ya Magufuli kirahisi.
Nimeamini adui wa mtu ni watu wa karibu yake. Magufuli alizungukwa na wanafiki watupu, akawakumbatia huku akiwaangamiza wapinzani.
Nyumbu yupo futi sita chini ya ardhi anashughulikiwa na funza,Nyumbu wa Serengeti kwa kufuata mkumbo wako vyema, hata kama ni kuliwa na mamba wao sawa tu alimradi fuata mkumbo
Watu hawapingi Historia ya nchi kufundishwa, hata mimi napenda sana . Tatizo ni ule mchakato ulivyofanywa,Somo la Historia ni kutuwezesha kujua tulikotoka na tulipo kwa sasa ili tujue tunakokwenda kama ni sahihi kama nchi na kama dunia. Vijana wetu wa sasa hawajui tulikotoka. Na sasa ndiyo ma DC na RC wetu, tutegemee watatupeleka wapi kama si kule akina Chalamila na Ole Sabaya walikokuwa wanatupeleka licha ya kuwa na madigiri ya uzamifu? Hata akina Ndalichako ni wale wale.
Jiwe alikuwa anajenga Msingi kwa kutumia ma BoyaWaziri wa elimu Prof. Ndalichako amesitisha maboresho ya mtaala wa somo historia ambao ulianzishwa na Magufuli. Mtaala huo wa somo la historia ungeanzisha kufundisha somo la historia kwa kiswahili tangu madarasa ya awali hadi chuo kikuu. Waziri Ndalichako ameagiza kuendelea kutumia mtaala wa zamani hadi mtaala mpya utakapoandaliwa kwa kushirikisha wadau.
Source: ITV
Sijui Magufuli anajisikiaje huko aliko kwa sababu maagizo yake yanatupiliwa mbali kila kukicha!
Exactly.Umuhimu wa katiba mpya
Akifufuka tunamuua tenaHv akifufuka anakuwa Rais au????
Magufuli alikuwa sawa, achaneni kupinga kila jambo:
Tuachane na mtaala wa kikoloni tufundishe watoto wetu historia yetu na ya mababu zetu, tamaduni zetu, mila zetu, ili tukuze uzalendo kwa vizazi vya sasa na vijavyo
Hakuna haja ya kufundisha historia kwa Kiingereza,
Magufuli alikuwa sawa, ProfesaNdalichako harakisheni huo mtaala mpya
Hakuna kuboresha hilo wazo lishakufa baada ya mwendazake kufa, inshort lilikuwa wazo la kijinga.Binafsi siwezi kusema hakuwa sahihi kwa asilimia mia maana usahihi au kutokuwa sahihi kwa mtu vyote hutoka na fikra pinzani
Binafsi nilichokiona kwa Magufuri ilikuwa ni kukosekana kwa ushawishi wa kisomi.
Yeye hakuona haja ya kuhangaika kujenga hoja kwanini liongezwe somo la histori litakalofundishwa kwa Kiswahili toka awali hadi chuo kikuu badala yake aliona atoe agizo.
Sasa maagizo wakati mwingine kwenye maswala ya elimu sio mazuri sana.
Kuna maagizo yaliyofuta masomo ya biashara na kilimo, mengine yakaunganisha physics with chemistry lakini yote yameshatenguliwa
Wakati mwingine ni vizuri kuweka wazo hewani lichambuliwe kwanza badala ya agizo
Naamini kabisa hoja ipo. Lakini halikutakiwa kutekelezwa kama lilivyokuja
Content gani ya kuielezea Tanzania toka awali hadi chuo kikuu inaandaliwa ndani ya miezi kadhaa?
The late Magufuri alipenda sana kushurutisha watu badala ya kuwafanya wafikiri zaidi. Yeye alitaka kila wazo lake lipite bila kuongeza wala kupunguza chochote ndiomaana pale Ndalichako alipojaribu kukaa kimya alikumbusgwa kupitia media
Sasa tukae mezani tutoe maoni kupitia TIE ili tuboreshe wazo la hayati Magufuri
Vijana wa kijiweni hawajui thamani ya historia. Yawezekana wanaopinga mtaala wa historia ya Taifa hawajui chimbuko la familia zao na tamaduni. Upumbafu na Ulofa
Mstari wa mwisho ndo jibu sahihi.Hilo SoMo halina umuhimu wowote kwa sababu sioni utofati wake na historia inayosomwa shule ya msingi, zaidi sana ni kuongezea watoto wetu mzigo wa masomo yasiyo na ulazima. Nilichogundua hiyo historia ya Tanzania ulikua imelenga kuwasifu viongozi wa fisiemu na si vinginvyo.
Nani kafanya huo mchakato na ameufanyaje?Watu hawapingi Historia ya nchi kufundishwa, hata mimi napenda sana . Tatizo ni ule mchakato ulivyofanywa,
Alitaka historia ya Tanzania ibadilike imwandike yeye. Hivi Yule mzee alikuwa na akilinkweli?Waziri wa elimu Prof. Ndalichako amesitisha maboresho ya mtaala wa somo historia ambao ulianzishwa na Magufuli. Mtaala huo wa somo la historia ungeanzisha kufundisha somo la historia kwa kiswahili tangu madarasa ya awali hadi chuo kikuu. Waziri Ndalichako ameagiza kuendelea kutumia mtaala wa zamani hadi mtaala mpya utakapoandaliwa kwa kushirikisha wadau.
Source: ITV
Sijui Magufuli anajisikiaje huko aliko kwa sababu maagizo yake yanatupiliwa mbali kila kukicha!
Wewe unafikiri kutumia Nini mkuu isije ikawa ni Kinyume Cha Ulichoandika hapo....Tatizo lipo kwenye Maudhui ya Hiyo Histori au Lugha ya kufundishia!?imagine unafundishwa historia ya mkwawa kiingereza[emoji16][emoji16],sijui ukasimulie wazungu ama!!!
wakati mwingine kuna watu wanayapa matako kazi ya kichwa,mmoja wapo mleta mada.na anacheka cheka tu.
Mkuu, unajuwa kwamba Wazungu (wajerumani,to be more specific) wanaijua Historia ya Mkwawa vizuri na walimsifu sana kwamba aliweza ku organise jeshi lake vizuri na alikuwa vizuri kwenye military tactics hasa pale kwenye battle of lugalo ?imagine unafundishwa historia ya mkwawa kiingereza[emoji16][emoji16],sijui ukasimulie wazungu ama!!!
wakati mwingine kuna watu wanayapa matako kazi ya kichwa,mmoja wapo mleta mada.na anacheka cheka tu.
Mnamo mwaka 2015 inchi ilipata Rais mzalendo, alihamishia Ikulu Dodoma njia panda ya Chato, alununua ndege sita hakuna Rais mwingine ila yeye shuja wa Africa.Kafundisheni huo Mtaala shule za Chato, huko ndio watu wana muda wa kuabudu binadamu.