Alistalikopaul
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 720
- 1,995
Historia haitaweza kufundisha uzalendo watoto watasoma kama hadithi tu Ili wakajibu mitihani.Kila somo lina sehemu yake kwenye maisha hata kama sio sehemu ya taaluma ya baadaye ya muhusika
Mentality na mitizamo yetu inajengwa na jinsi tulivyokuzwa na kufundishwa
Ukimfundisha mtoto takata atakuja kuwa takataka
Ukimfundisha mtoto bangi, atakuja kuwa bangi tu
Historia iliyobuniwa vizuri inawajengea watoto positive mentality na patriotisms hata wakiwa wakubwa na viongozi kwenye jamii bila kujali taaluma
Huo uzalendo ni swala pana na linahitaji mtaala makini pia wataalamu wa kutosha usitegemee kupata uzalendo kwa kufundishwa historia.