Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Huyo mama ni profesa lakini Hana akili kabisa.
Ni Prof wa kukariri tu madesa.
Hamna kitu kichwani.
We kibushuti zaidi ya ualimu wako wa primary una nini cha ziada?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mama ni profesa lakini Hana akili kabisa.
Ni Prof wa kukariri tu madesa.
Hamna kitu kichwani.
Ukiwa kiongozi ukubali kushaurika, baada ya ushauri ndiyo ufanye maamuzi. JPM alijitengenezea ukuta uliomzunguka ambao ushauri ilikuwa ngumu kuupenya. Ukuta huo ulijengwa na kauli kama "mimi najiamini", " ukija kufanya lobbying kwangu ndiyo umeharibu kabisa",. Viongozi wastaafu walivyojaribu kumshauri akasema wanawashwawashwa. Katika mazingira haya ni dhahiri kuwa viongozi walitakiwa kupokea na kutekeleza " maelekezo" na si vinginevyo.... zaidi ya 70% ya mawaziri ni walewale alioacha mwendazake! What can be concluded? Walikuwa "wanamchora tu".
hoja hapa kwanini tujifunze historia yetu wenyewe kwa lugha ya kigeni.sijui hata unaelewa!!!Mkuu, unajuwa kwamba Wazungu (wajerumani,to be more specific) wanaijua Historia ya Mkwawa vizuri na walimsifu sana kwamba aliweza ku organise jeshi lake vizuri na alikuwa vizuri kwenye military tactics hasa pale kwenye battle of lugalo ?
Au umeandika tu hapa ki utani ?.ila isome vizuri Historia ya Mkwawa inaonesha wazi hujui mengi kumuhusu hasa uwezo wake. Nenda huko mitandaoni usome taarifa za wakoloni walizotuma kwao huko.kwa kifupi tu nimekusaidia kukupa mwanga kuhusu mkwawa maana naona unamu attack mwenzako bure.hivo basi kufundisha Historia ya Mkwawa kwa kiingereza sio kosa
Mwisho nahitimisha kwa kusema kwamba, Historua inasema kwamba Mkwawa na mwenzie Shaka wa zulu walikuwa vizuri sana kwenye Military tacts ndio maana waliweza kufanya mashambulizi mazito mno.mfano mkwawa aliwachakaza wajerumani mno ambao walikuwa na silaha za kisasa (kwa wakati ule) huku yeye akiwa na askari wenye silaha chache za kisasa
shida iloyopo ni kwamba mwendazake alikuwa na maono makubwa kuliko uwezo wa viongozi wake waandamizi na watz wengi anaowaongoza.Wewe unafikiri kutumia Nini mkuu isije ikawa ni Kinyume Cha Ulichoandika hapo....Tatizo lipo kwenye Maudhui ya Hiyo Histori au Lugha ya kufundishia!?
mbona tayari yupo kwenye historia!!!Lengo la Magufuli alitaka aingizwe kwenye mtaala wa somo la historia na wala siyo suala la lugha! Hivi historia ya Mkwawa ikifundishwa kwa kiingereza inakuwa tofauti na ikifundishwa kwa kiswahili?
Kama kuna kufa mara mbili, life tu!Kama huko aliko Magu anayona haya yanayoendelea hasa kugeukwa hasa katika utawala wa aliyekuwa makamo wake,basi atakufa tena kwa msongo wa mawazo
Ni wapi wewe hujasoma historia ya nchi yako? Mbona historia iko vizuri tu? Itoshe kusema, marehemu alikuwa mpambavuuu!Kujifunza na kufundisha vijana wetu na kizazi kijacho historia ya nchi yetu ni maagizo ya kipumbaavu? Mpumbavu ni wewe uliyepofuliwa na chuki mpaka hutambui jema na la manufaa kwako na kizazi chako ni nini!
Jamani legasi sasa hivi imebakia jina tu , ikiwezekana na ule ukuta wa mererani ubomolewe🤣🤸🐒
Siti ya daladala huwa haina mwenyewe.Kama huko aliko Magu anayona haya yanayoendelea hasa kugeukwa hasa katika utawala wa aliyekuwa makamo wake,basi atakufa tena kwa msongo wa mawazo
Wasenge wengi sana humu.Ni upumbavu tuu kuwaza kufundisha Historia kwa kiswahili kuwa utafanikisha jambo lolote la maana wakati somo la kiswahili wanafunzi wanafeli vibaya . Kama hujui English kama mwenda kuzimu utaunga mkono ujinga wake.
Fedha za umma zinatumiwa vibayaWaziri wa elimu Prof. Ndalichako amesitisha maboresho ya mtaala wa somo historia ambao ulianzishwa na Magufuli
Kwa hili la masomo kufundishwa kiswahili ningeshauri serikalini iliangalie kwa jicho la tatu. Hasa hasa Yale masomo ambayo ni muhimu wanafunzi kuelewa kwa undani ili wawe na ubunifu zaidi na kujitengenezea ajira.Waziri wa elimu Prof. Ndalichako amesitisha maboresho ya mtaala wa somo historia ambao ulianzishwa na Magufuli. Mtaala huo wa somo la historia ungeanzisha kufundisha somo la historia kwa kiswahili tangu madarasa ya awali hadi chuo kikuu. Waziri Ndalichako ameagiza kuendelea kutumia mtaala wa zamani hadi mtaala mpya utakapoandaliwa kwa kushirikisha wadau.
Source: ITV
Sijui Magufuli anajisikiaje huko aliko kwa sababu maagizo yake yanatupiliwa mbali kila kukicha!
Kwa hili la masomo kufundishwa kiswahili ningeshauri serikalini iliangalie kwa jicho la tatu. Hasa hasa Yale masomo ambayo ni muhimu wanafunzi kuelewa kwa undani ili wawe na ubunifu zaidi na kujitengenezea ajira.Waziri wa elimu Prof. Ndalichako amesitisha maboresho ya mtaala wa somo historia ambao ulianzishwa na Magufuli. Mtaala huo wa somo la historia ungeanzisha kufundisha somo la historia kwa kiswahili tangu madarasa ya awali hadi chuo kikuu. Waziri Ndalichako ameagiza kuendelea kutumia mtaala wa zamani hadi mtaala mpya utakapoandaliwa kwa kushirikisha wadau.
Source: ITV
Sijui Magufuli anajisikiaje huko aliko kwa sababu maagizo yake yanatupiliwa mbali kila kukicha!
Wafundishe wanaoVijana wa kijiweni hawajui thamani ya historia. Yawezekana wanaopinga mtaala wa historia ya Taifa hawajui chimbuko la familia zao na tamaduni. Upumbafu na Ulofa
Ilimlenga yeyeHilo SoMo halina umuhimu wowote kwa sababu sioni utofati wake na historia inayosomwa shule ya msingi, zaidi sana ni kuongezea watoto wetu mzigo wa masomo yasiyo na ulazima. Nilichogundua hiyo historia ya Tanzania ulikua imelenga kuwasifu viongozi wa fisiemu na si vinginvyo.
Hivi wewe unaona enzi zile watu walikua na akili?Yaani hadi Professor Ndelichako anamsaliti Magufuli? Kweli?
Ni Magufuli aliyemuinua Professor Ndelichako kutokea benchi, akampa ubunge wa bure na zawadi ya uwaziri, leo hii bila aibu anaizika legacy ya Magufuli kirahisi.
Nimeamini adui wa mtu ni watu wa karibu yake. Magufuli alizungukwa na wanafiki watupu, akawakumbatia huku akiwaangamiza wapinzani.
Alitaka jina lake liingizwe kwenye mtaala mpya tapeli yuleMagufuli alikuwa sawa, achaneni kupinga kila jambo:
Tuachane na mtaala wa kikoloni tufundishe watoto wetu historia yetu na ya mababu zetu, tamaduni zetu, mila zetu, ili tukuze uzalendo kwa vizazi vya sasa na vijavyo
Hakuna haja ya kufundisha historia kwa Kiingereza,
Magufuli alikuwa sawa, ProfesaNdalichako harakisheni huo mtaala mpya