NIMEAMINI WAFUASI WA JF ni mambumbumbu, nilujuaga humu wengi ni watu wanaojitambua ama watu wanaojielewa ma great thinkers, kumbe maboya na mapumbv, yaan ktk koment karbia 200 hakuna mtu hata mmoja aliejarbu kuonesha umuhim wa somo la history, hiv humu kuna wasomi kwel??? ama nyote ni wale lasaba failure ambao bado hawajajua vzr umuhim wa elimy, ama ni chuki za kisiasa znawafanya muchukie kila jambo hata lililofanywa kwa faida za watoto zenu, mnaleta siasa, kwanzia leo sitowahi waita great thinkers kwenye hili jukwaa la siasa, maana wote mnaonesha udhaifu, na ndyo ninyi mnaopigia kelele katiba mpya na wakat hamtaki marekebisho ya somo la history, maana hii ya sasa ni uongo mwingi sana umejaa, hiyo katiba haina umuhimu, maana hata umuhimu wa historia yenu hamuitak, ...UPINZAN WA TZ NI OVYO KABISA, ..simply nitawapa short stories za mambo ambayo ni makubwa na hayajaandikwa ktk hivyo vitabu ama takataka mnazoita history iliyokamilika
,Hiv mnajua kuwa Tz kulkuwako na wanyama wakubw walioishi hapa hapa east afrika ama Tz? , hiv mnajuwa kuwa the origin black Israelites were living in Tz?, hiv mnajuwa kuwa mnara mrefu(pyramid) ilijengwa east afrika na wana dini wanaita mnara wa babeli, huu ulijengwa hapa hapa east afrika kwa malengo ya kufungua mlango wa kuingia ktk dimension nyingne ya maisha kwa lengo la kwenda kuonana na Nguvu ya asiri inayo control dunia nzima,,hiv mnajuwa kuwa uko iringa kuna mabaki ya waisrel weusi ambao walipamban vita na mkolon kutetea rasilimali zisipolwe? jiulize, wale mnaowabariki uko palestina ikawaje historia yao ionekane mapangoni hapa Tz tena iringa? japo vitabu vya dini vinaeleza tofaut? jibu unalipata simple tuu baada ya mzungu kuja afrika na kuitawala aliarbu kila kitu, kuanzia elimu yetu, na kuwaletea colonia education inayowataka kujaza takataka , kichwan zisizo na msingi,.swal lingine, je mnajuwa kuwa swahil language was the among of tje best language toka ktk ile lugha ya mtu wa mwanzo? i mean watu wakale kabla hata hizo takataka za kiarabu, kigiriki,kiebrania azijatokea?, mnajua kuwa elimu ya nyota, na ugunduz wa sayar zile9 ikiwepo na solar system zmevumbuliwa hapa hapa afrika?? lkn hamjifunz haya, bado nawauliza mnajuwa kuwa umeme umetumika zaman kabla hata mzungu hajajua kuvaa chupi?,
bado naendelea, mnajuwa kuwa ndege vyombo vya angan vimeshatumika sana afrika b.c ??, mnajuwa kuwa ktk historia ya afrika aliwai kuzaliwa jemedari mwenye uungu na alizaliwa bila baba, yaani alitoka ktk uzao wa mama tu, na huyu alifanya ukomboz kwa waafrika kipindi hiko, alikuwa na nguvu za miujiza, ikiwepo uponyaji na kipawa cha kufundisha, huyu aliuwawa na hao hao waliowaandikia vitabu vya kikolon, wakaiba historia yake na kutunga vitabu vya iman na kumuita yesu ktk biblia na ktk quran akaitwa issa bin marium,,
hiv mnajuwa kuwa ramani ya dunia nzima ipo hapa hapa afrika? na ilichorwa na muafrika kabla hata mzungu hajajua kuvaa chupi, jiulize ni technology gani ilitumika, pia kuna historia ya mabara kugawanyika, hii wanasayans wameeleza uongo mkubwa hawataj sabbu ni nini, na ilianzia wapi, hii sabbu ya mabara kugawanyika ilianzia hapa hapa east afrika, ama babiloni ya kale,..hiv mnajuwa kuwa kibantu ikiwepo kiswahili ndyo ilkuwa lugha ya mtu wa mwanzo kabisa?? yaan lugha kongwe kupita zote, ushahidi upo,
Hiv mnajuwa kuwa viongoz wa afrika ktk jamii, historia imepotosha vyeo vyao kwa kuwapa majina ya vyeo vya chini sana , mfano kumuita kiongoz wa kabila kubwa kwa kumuita chief ilo ni kosa kubwaa sana, kiongoz wa jamii yeyote ile alitakiwa kuitw King na si vinginevyo, haya yote , hamuyajui, alafu mmekazana kuleta siasa kwenye uhalisia, watanzia ukolon bado unawatafuna, yaan utumwa wa akili bado umewakamata mnashindwa kujitambua, jitu lnafikia hatua ya kusema eti historia inamsaidia nn mtu wa kawaida, hiv hii ni akili au upumbv??? watu kama hawa ndyo tuwape nchi watuongoze si watatuuza, mbwa hawa,, kuna meengi yakueleza, inshort kwa serkali hii HAKUNA MWENYE UCHUNGU NA MAISH YA MTANZANIA, WOTE NI WAUZA SURA NA WATETEA MATUMBO YAO,