Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

hiyo issue inasaidia xna.I was addicted by masturbation since when i was at 16 age until to 25 age but nilipoanza ku2mia tangawiz ya unga 1 small spoon,mdarasni 1small spoon,punje tatu za vitunguu swaum na 2 spoon za asali every morning at 5:30 kweny kikombe chenye maji moto then nafanya mazoez ya testosterone boosting kama dakka 15 tu.After 1month huwez kuamin nilkua mtu tofauti kabx.
 
Kuna jirani yangu hii nitamwambia aijaribu ana shida kidogo
 
Hiyo bawasili ilishanitokea mkuu, na ushauri nilioupata humu jf kuhusu kitunguu swaumu kwakweli ni dawa tosha kabisa ......
 
Upo tofauti kivipi elezea kidogo usaidie wengi,.
 
MIMI NAOMBA KUJUWA NI UGONJWA GANI NILIONAO
KWANI NIKIVAA VIATU VYA KUVIKA MIGUU INAWAKA MOTO NIKIVAA KANDA MBILI HAMNA HILO TATIZO
 
Samahani mchangiaji.... Napenda kutoa tahadhari.... Kitunguu saumu kikipikwa ni mboga tu unaweza kula upendavyo.... Lakini kikiwa kibichi ni dawa yenye nguvu.... kitunguu Kina sifa ya kushusha pressure... Kwa hio ikiwa mtumiaji ana pressure Ya kushuka ni hatari kutumia kwa wingi.... Tolerable dose ni punje mbili mpaka tatu kwa siku.
 
Asante kwa angalizo na tahadhari
 
MIMI NAOMBA KUJUWA NI UGONJWA GANI NILIONAO
KWANI NIKIVAA VIATU VYA KUVIKA MIGUU INAWAKA MOTO NIKIVAA KANDA MBILI HAMNA HILO TATIZO
Hili unapaswa kuonana na daktari bingwa wa ngozi na mishipa
 
Iko hivi kila ukilala tafuna kipande cha kitunguu saumu halafu lala na kipande cha ndimu...vinaweza kufunuka vingi vilivyofunikwa kitambo...yaani ni sawa na kuamshwa kwenye usingizi mzito...jus give it a try
kufunua vingi!!!! inamaaana unamaanisha kuona mauzauza ama???
 
Yeah inaweza kukutokea
ndugu mimi nateseka sana na hivyo vitu, nimeshasali sana, nimelala na Bible, nimelala huku naskiliza Qur'an, nimelala na mfupa wa nguruwe, nimelala na vitunguu(atleast kinamsaada japo hakijamaliza tatizo),nimelala na masizi, nimesomewa Albadill, hadi nimeenda mara mbili kwa waganga lakini waaapi bado ni mandoto mabaya na kuona maluweluwe usiku, skuizi hata silali mpaka kichwa kinauma, hebu nishauri,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…