maalimu shewedy
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 860
- 691
Ahsante mkuu, ila tatizo bado choo sipati vizuri ila dalili inaonyesha dozi inaenda vizuriHapana kimeshatoweka ila usiache kutumia kwa kinga nyingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante mkuu, ila tatizo bado choo sipati vizuri ila dalili inaonyesha dozi inaenda vizuriHapana kimeshatoweka ila usiache kutumia kwa kinga nyingine
Mmh kwa hili hebu fanya vipimo kuepuka guess worksMkuu Mshana Jr...¢¢¢
Huwa Asubuhi nakunywa maji niliyochanganya na limao kisha nameza na kitunguu swaumu. Na vilevile huwa nakula matunda ya tikiti maji na juisi ya maembe mida ya mchana. Ila some time mda wowote huwa najihisi kutaka kujisaidia japo ukifika chooni huwa najisaidia kidogo .
Je, kuna tatizo zaidi......??
OkMmh kwa hili hebu fanya vipimo kuepuka guess works
Hapana sioni tatizo hapo hasa kipindi hiki cha jotoMkuu Mshana Jr.
Naomba nikuulize tuu....!!!
Nina mazoea ya kumeza punje kama tano za kitunguu swaumu kila siku usiku kabla ya kulala.
Na Asubuhi nina mazoea ya kunywa maji yenye Limao au Maji yenye Asali kabla sijaingiza chochote.
Ila mkuu. Kuna kitu sikielewi, inapo fika usiku mida some time naamka nakwenda kunywa maji ya kunywa au nakwenda haja ndogo kisha nakunywa maji hapohapo cha kushangaza mwili unatoa jasho jembamba, je tatizo nini.....??
AhsanteHapana sioni tatizo hapo hasa kipindi hiki cha joto
Mimi binafsi ndio dozi yangu daily na imenisaidia sanaHivi ukitafuta hata punje mbili huwa inasaidia sana sana....??