Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

Na audio hapa nashindwa kupload full dose ya nguvu za kiume
 
Mim nna tatizo la mgongo kuwaka moto,hospital nshaenda sana had nimekata tamaa nieamua niwe tu nazoe hali hiyo huu mwaka wa kumi unaenda ,je mnaweza nipa tiba wadau
nenda hospital kubwa kapime unaweza ukawa na cancer ya uti wa mgongo
 
Wakuu - for some reason unatakiwa ukishachukua kama punje 3 au 5 za kitunguu saumu ukaziponda. Uzikamulie limao/ndimu moja then uuache huo mchanganyiko for 15 minutes au 30 minutes then ndio unywe. Sina uhakika ila wanasisitiza viache kwa muda kidogo baada ya kuvichanganya. Ukifanya hivyo ukanywa hata mara 3 kwa wiki aisee magonjwa kwako itakuwa historia. dawa ya magonjwa mengi sana. Mimi niliporudi TZ baada ya kuishi nje ya nchi zaidi ya miaka 10 nilikuwa naumwa malaria kila mwezi. sasa hivi naisikia malaria kwenye news tu
 
Back
Top Bottom