love you
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 727
- 728
hahahaa..you made my day..kwahiyo kaka mchanganyiko wa kitunguu swaumu,bangi na nguruwe yaweza kuwa tiba tosha ya kinga kwa mwili zidi ya uchawi na magonjwa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaa..you made my day..kwahiyo kaka mchanganyiko wa kitunguu swaumu,bangi na nguruwe yaweza kuwa tiba tosha ya kinga kwa mwili zidi ya uchawi na magonjwa??
Kiongozi naomba nisaidie kitu, ni kweli mbegu za mapapai ni tiba kwa minyoo iliyo katika mwili wa binadamu.??Hapana ila ukiwashwa ujue ndio dawa inaingia[emoji3] [emoji3] BTW hata kula tu inatosha
yaani ndo hivihivi tu mkuu..hapana kwakweli jazia nyama hapo..mchango wako unahitajika
vipande vya vitunguu sioKinga nzuri sana ya malaria. Sikumbuki mara ya mwisho kuugua malaria japo nipo jiji la malaria dsm. Hata net sijui bei yake. Chukua vipande kadhaa kula na ndimu ama limao kukata makali yake. Then endelea kulala bila net! Kula vipande kama tano hv guarantee 5+ years without malaria! Mungu Mkubwa!
Andika yote kwa faida ya jukwaa tafadhali1. Kufukiza nyumba kwa maganda ya kitunguu
Inaondoa na kuleta kinga dhidi ya wanga/upepo mbaya / nuksi / ndoto za ajabu ajabu/ kinga ya watoto nk.
2. Kwa wale wasafiri kama wafanya biashara hutumia kile kukila au kukiweka mfukoni au kusaga na kujipaka kwa kuchanganya na mafuta
kama kinga.
3. Kwa kina dada moja ya maandalizi unapotaka
Kufanya yale mambo flani basi chumba kwanza hufukizwa thoum kabla ya udi.
4. Kwa wazazi wabichi mafusho ya thoum ni mazuri sana
5. Kidonda cha mshono au popote asali na matone mawili ya thoum ni mujarab kinakauka fasta.
Kina matumizi mengi sana mengine siwezi andika.
Andika yote kwa faida ya jukwaa tafadhali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji14] [emoji13] [emoji12]Mh!
Watakuja tu kunivagaa siku hizi Jf kuna changanyikeni.
sitaki ban ...
Uko wapi?Mim nna tatizo la mgongo kuwaka moto,hospital nshaenda sana had nimekata tamaa nieamua niwe tu nazoe hali hiyo huu mwaka wa kumi unaenda ,je mnaweza nipa tiba wadau
Pwani MkurangaUko wapi?
Kinauma piaKiuno hakiumii?
Nitute pmKinauma pia
Najaribu ila meseji inagoma kujaNitute pm