saiditawani
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 369
- 252
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimeona mkuu nimeelimika vya kutosha na nakubalianaa na kila kilichoandikwa humu kwani mimi ni shahidi hii kitu balaa
Leta ushuhuda wako mkuu.. Imekusaidia nini?nimeona mkuu nimeelimika vya kutosha na nakubalianaa na kila kilichoandikwa humu kwani mimi ni shahidi hii kitu balaa
aisee mambo makubwa sanaa ndani ya muda mfupi nisingependa kuyaanika hapa ila kitunguu saumu ni nomaLeta ushuhuda wako mkuu.. Imekusaidia nini?
Sawa mkuuaisee mambo makubwa sanaa ndani ya muda mfupi nisingependa kuyaanika hapa ila kitunguu saumu ni noma
I ll give it a tryIko hivi kila ukilala tafuna kipande cha kitunguu saumu halafu lala na kipande cha ndimu...vinaweza kufunuka vingi vilivyofunikwa kitambo...yaani ni sawa na kuamshwa kwenye usingizi mzito...jus give it a try
Unamaanisha kulala nacho kivipi?Iko hivi kila ukilala tafuna kipande cha kitunguu saumu halafu lala na kipande cha ndimu...vinaweza kufunuka vingi vilivyofunikwa kitambo...yaani ni sawa na kuamshwa kwenye usingizi mzito...jus give it a try
kipande cha ndimu unalala nacho vipi mkuiIko hivi kila ukilala tafuna kipande cha kitunguu saumu halafu lala na kipande cha ndimu...vinaweza kufunuka vingi vilivyofunikwa kitambo...yaani ni sawa na kuamshwa kwenye usingizi mzito...jus give it a try
Mkuu,unaweza kunisaidia hizo ili hata nikiwa barabarani gari ikiharibika niliweke begani na kuondoka nalo??..hizo dawa zinaweza kunifanya kama Samson??Dawa za mitishamba kutibu za kutibu mapungufu ya nguvu za kiume bei sh 20000...nitafute kupitia 0744069527
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji30] [emoji30] [emoji30]Mkuu,unaweza kunisaidia hizo ili hata nikiwa barabarani gari ikiharibika niliweke begani na kuondoka nalo??..hizo dawa zinaweza kunifanya kama Samson??
hivi mshana utakuja kufa kweli?maana kila kitu unakijua,hongera sana bro!![]()
Kwanza nipende kumshukuru sana Lavan Island yeye ndio chachu ya mada hii...nilikuwa sina ufahamu wa kutosha kuhusu kitunguu saumu japo nilikuwa najua kuwa ni kinga nzuri kwa mtoto anayetaka usiku na kulialia, lakini kumbe kitunguu saumu ni kinga hatari kwa mambo ya kishirikina na viumbe roho wabaya
![]()
Kitunguu saumu kwa jina la kitaalam Allium sativum sio kiboko ya wachawi tu bali pia ni kinga ya magonjwa mengi na hata wadudu waharibifu.
Hiki kiungo kimacholeta Ladha kwenye vyakula vingi kilianza kutumika zamani sana kwenye nchi nyingi duniani
Wamisri waliamini katika majini yanayonyonya damu watoto wakitumia kichane cha vitunguu saumu kuwa kinga watoto wao..sehemu za China Malaysia nk wazazi hutumia kuwapaka watoto kitunguu saumu kwenye paji la uso kama kinga ya nguvu za giza.
Kule Romania wao husaga na kupakaza kwenye milango na madirisha ya nyumba zao , mageti na hata kwenye pembe za ng'ombe wakiamini nguvu ya kitunguu saumu kwenye Kufukuza wachawi na viumbe roho wabaya.
Lakini pia ili kumlinda marehemu aliyekuwa na dalili za kugeuka jini au kuzuia asichukuliwe kishirikina walimlisha/walimwekea vipande kadhaa vya kitunguu saumu mdomoni...na hii pia ni kinga hata ya kuzuia roho yake isiweze kurudi mwilini
Huo ulikuwa ni upande wa giza lakini unapokuja kwenye afya ya kawaida ya mwili kitunguu saumu huongeza kinga mwilini, huku kikipunguza cholesterol kwa kiwango kikubwa mno huku kikisaidia kutanua mishipa ilisinyaa, zaidi hii kitu ni kinga bora sana ya cancer na hata mgonjwa mwenye dalili za cancer . BP kisukari nk nk...ukiweza kabla ya kulala tafuna kipande kimoja cha kitunguu saumu kile kisicho na harufu kali
Maajabu ya kitunguu saumu ni kwamba inakuwaje kitu kidogo namna hii kinakuwa na nguvu ya ajabu hata kuwa kinga kwenye nguvu nyingi za giza? Kimoja kinachosemwa saana ni ile harufu yake . . . majini mashetani na hata wachawi na washirikina wakiwemo wanga wana mzio mkali na harufu ya kitunguu saumu na vitu vichachu..hii ndio sababu pekee iliyoweza kutolewa mpaka sasa.
Lakini pia maajabu mengine ni ile nguvu ya Kufukuza hata wadudu waharibifu majumbani na mashambani kiasi cha kuvutia watengeneza madawa ya wadudu kukitumi.
Kuna watu baadhi si wachawi wala si washirikina lakini hupenda kutumia mchanganyiko wa Biblia takatifu kitunguu saumu na mafuta ya mzeituni kuwasaidia watu wenye magonjwa ya ajabu yanayohusishwa na nguvu za giza kwahiyo jamani pamoja na kuwa kiungo kimacholeta Ladha kwenye vyakula vingi lakini pia ni kinga ya magonjwa mengi na hata nguvu za giza
![]()