Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

Kitunguu swaumu pia husaidia kuongeza na kuimarisha nguvu za kiume kwakua kuboresha mzunguko wa damu mwilini na kuondoa cholesterol mbaya mwilini.
Kwahiyo hiki chaeza kua tiba kwenye mengi
 
Kwa stage za mwanzo bawasili yaweza kutibika kwa kitunguu saumu lakini kama imeshakomaa hakuna jinsi zaidi ya kutumia dawa za hospital (Acosal anal ointment) au kufanyiwa upasuaji
Nilishafanya upasuaji kwa Mara kwanza na ss imejirudia tena!!
 
kwahiyo kaka mchanganyiko wa kitunguu swaumu,bangi na nguruwe yaweza kuwa tiba tosha ya kinga kwa mwili zidi ya uchawi na magonjwa??
[emoji3] [emoji3] [emoji192] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Si unaonainatanua mishipa iliyosinyaa?
Unachifanya unachukua asali maji ya moto na kitunguu saumu robo lita ya maji moto kitunguu saumu vipande viwili asali vijiko vitatu daily kwa mwezi mzima
Vipande vya ukubwa gani maana vyenyewe ni punje ndogo pia!
 
Vipande vya ukubwa gani maana vyenyewe ni punje ndogo pia!
Inategemea na ukubwa wa kitunguu saumu chenyewe kama ni vile vidogo sana kula 2-3 kama ni vikubwa kula kamoja
c481203d33c1db0ac5a1186da2aad0e4.jpg

Ukubwa huo kula kamoja
 
Back
Top Bottom