Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

Mshana ni kweli kitunguu saumu kinatibu BAWASILI?

TIBA YAKE IKOJE?

Ni kweli kitunguu saumu kinatibu BAWASILI?

TIBA YAKE IKOJE?
Kwa stage za mwanzo bawasili yaweza kutibika kwa kitunguu saumu lakini kama imeshakomaa hakuna jinsi zaidi ya kutumia dawa za hospital (Acosal anal ointment) au kufanyiwa upasuaji
 
Darsa zur sana,niliwahi tokewavna kipele mithili ya Bawasili...nilisoma.humu humu JF kuhusu Kitunguu saumu..nikajaribu...unamenya kitunguu saumu kisha unapondaponda yale maji yake unapaka kwenye kile kipele..kwa siku 7
Hakika nilipona...kile kipele kilisinyaa mwishowe kikaisha kabisa
 
Thanks for sharing....nadhani hii kitu ni zaidi ya tunavyoifamu...na ina thamani kubwa kuliko tunavyoichukulia I mean hiki kitunguu saumu
 
Back
Top Bottom