Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #161
Duu asante nitafanya hivyoWakuu - for some reason unatakiwa ukishachukua kama punje 3 au 5 za kitunguu saumu ukaziponda. Uzikamulie limao/ndimu moja then uuache huo mchanganyiko for 15 minutes au 30 minutes then ndio unywe. Sina uhakika ila wanasisitiza viache kwa muda kidogo baada ya kuvichanganya. Ukifanya hivyo ukanywa hata mara 3 kwa wiki aisee magonjwa kwako itakuwa historia. dawa ya magonjwa mengi sana. Mimi niliporudi TZ baada ya kuishi nje ya nchi zaidi ya miaka 10 nilikuwa naumwa malaria kila mwezi. sasa hivi naisikia malaria kwenye news tu
Na pia kuepusha harufu unatafuna karanga mbichi