maalimu shewedy
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 860
- 691
Hebu tuweke wazi mkuu, huwa inasaidia nn zaidi....??Mimi binafsi ndio dozi yangu daily na imenisaidia sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu tuweke wazi mkuu, huwa inasaidia nn zaidi....??Mimi binafsi ndio dozi yangu daily na imenisaidia sana
Kinga ya maradhi mengi na ngufu sa mwiliHebu tuweke wazi mkuu, huwa inasaidia nn zaidi....??
Ni kweli kitunguu saumu kinatibu BAWASILI?
TIBA YAKE IKOJE?
mkuu anzisha uzi wa tiba mbadala,wewe unaweza zaidiKennedy hii ni tofauti kabisa na ile
Na hii unakunywa asubuhi na jioni au unachagua mda mmojawapo?Kisha ongeza maji ya moto na asali..ni bonge la therapy
Dushelele limesimama wima nn mkuu ? Leta ushuhuda hapaaisee mambo makubwa sanaa ndani ya muda mfupi nisingependa kuyaanika hapa ila kitunguu saumu ni noma
Mkuu je ukiwa mjamzito tiba hii inafaaa kutumiwa na mama mjamzito?KITUNGUU swaum ni mmea unaojulikana kitaalam kwa jina la ALLIUM SATIVUM Unaojumuisha. jamii za mimea ya KITUNGUU swaum,vitunguu maji,na vitunguu mboga.Ukiwa na historia ya kutumiwa na binadam kwa zaid ya miaka 7000 mmea wa kitunguu swaum una asili ya ASIA Ya KATI sasa twende kwenye tiba yake
Wapo dada zangu wengi sana ambao wanasumbuka na matatizo ya fangas haswa maeneo ya ukeni imefika wakati madada hawa wamekata tamaa juu ya tatizo hilo kwa kuwa wametumia dawa mbalimbali na hawajapona
TATIZO HILO HUTOKANA NA NINI?
(1)MAAMBUKIZI Kufanya mapenzi kiholela Watu hukimbilia kupima ukimwi tu wakiamin ndio gonjwa bays
(2)KUPENDELEA SANA KUVAA NGUO ZA KUSHIKA MWILI HASWA ZILE ZA MPIRA
(3)KUTOBADILISHA NGUO ZA NDANI KWA MUDA MREFU
HIZO NI MIONGONI MWA SABABU ZA TATIZO HILO
UNATUMIAJE KITUNGUU SWAUM KUONDOA TATIZO HILO?
Chukua punje moja ya vitunguu swaum kisha utaisaga na kuwa laini kabisa.Kisha utaizungushia katika kitambaa laini cha kufungia vidonda bandeji (GAUZE)baada ya kuizungushia ndani ya kitambaa hiko ingiza katika njia ya uke na kuiacha kwa masaa 8 hadi 12 kisha ubadilishe tena na kuweka nyingine. Tumia tiba hii kwa siku 2 mfululizo na tatizo la FANGASI au MUWASHO ndani uke litakwisha
HASANTENI
Asantee mkuu mshana jr,Haina formula ni uchaguzi wako