Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

Ukivimeza vizima vizima bila kukatakata ni tatizo
Hahahaaaaa wapenda vitu vitamu vitamu utawajua tu yani hapo unacho kwepa ni ile kasheshe yake ya ladha! ACHA UOGA BWANA TAFUNA.
 
Black seed ndo kitu gani hicho?
 
Good morning!!!!!! Atakuwa uncle wako hiyo sio buree!!![emoji15] [emoji15]
 
Jamani wana Jf hivi hakuna dawa ya asili inayo weza kutibu ugonjwa wa keloid?
 
Hellow wadau,
Mi nillitafuna vitunguu swaum vipande vitatu asbh, kabla ya chai, ila nliskia kichwa kinagonga cku nzima, tatzo ni nn..!?
nilickiaga sio vizur kwa mwenye presha ya kushuka...ila sina uhakika na hili
 
Very right namjua jamaa huyo anatumia kitunguu swaumu, mafuta ya zaituni na biblia vinginevyo sijui ila yule jamaa ni priceless lkn sijawahi kusikia kashindwa
Jamani huyu jamaa yupo wapi Nina shida nasumbuliwa jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…