wambura marwa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 2,172
- 1,128
Utaalamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaaa wapenda vitu vitamu vitamu utawajua tu yani hapo unacho kwepa ni ile kasheshe yake ya ladha! ACHA UOGA BWANA TAFUNA.Ukivimeza vizima vizima bila kukatakata ni tatizo
Black seed ndo kitu gani hicho?Chukua asali,kama lita hivi changanya na tangawizi iliyosagwa kama nusu kikombe kidogo,na vitungu swaumu vilivyopondwa, kisha changanya kwa na unga wa black seed pamoja,kila siku ule mchanganyiko wake kwa siku mara tatu kila wakat kijiko kimoja,aisee utakua na uso unaovutia,yaani uso mwororo,matatizo ya moyo,kinga mwilini,kwa marijali ndo usiseme,na pia mchanganyiko huu unaondoa uchawi kama umewahi lishwa kwa kuuozesha
Habat saudaBlack seed ndo kitu gani hicho?
nenda kaulize maduka ya dawa asiliBlack seed ndo kitu gani hicho?
nilickiaga sio vizur kwa mwenye presha ya kushuka...ila sina uhakika na hiliHellow wadau,
Mi nillitafuna vitunguu swaum vipande vitatu asbh, kabla ya chai, ila nliskia kichwa kinagonga cku nzima, tatzo ni nn..!?
Jamani huyu jamaa yupo wapi Nina shida nasumbuliwa jamanVery right namjua jamaa huyo anatumia kitunguu swaumu, mafuta ya zaituni na biblia vinginevyo sijui ila yule jamaa ni priceless lkn sijawahi kusikia kashindwa