Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

Ukivimeza vizima vizima bila kukatakata ni tatizo
Hahahaaaaa wapenda vitu vitamu vitamu utawajua tu yani hapo unacho kwepa ni ile kasheshe yake ya ladha! ACHA UOGA BWANA TAFUNA.
 
Chukua asali,kama lita hivi changanya na tangawizi iliyosagwa kama nusu kikombe kidogo,na vitungu swaumu vilivyopondwa, kisha changanya kwa na unga wa black seed pamoja,kila siku ule mchanganyiko wake kwa siku mara tatu kila wakat kijiko kimoja,aisee utakua na uso unaovutia,yaani uso mwororo,matatizo ya moyo,kinga mwilini,kwa marijali ndo usiseme,na pia mchanganyiko huu unaondoa uchawi kama umewahi lishwa kwa kuuozesha
Black seed ndo kitu gani hicho?
 
Good morning!!!!!! Atakuwa uncle wako hiyo sio buree!!![emoji15] [emoji15]
 
Jamani wana Jf hivi hakuna dawa ya asili inayo weza kutibu ugonjwa wa keloid?
 
Black seed ndo kitu gani hicho?
f49002fd325adae2232c4b2e825efabd.jpg


Habat sauda
 
Hellow wadau,
Mi nillitafuna vitunguu swaum vipande vitatu asbh, kabla ya chai, ila nliskia kichwa kinagonga cku nzima, tatzo ni nn..!?
nilickiaga sio vizur kwa mwenye presha ya kushuka...ila sina uhakika na hili
 
Very right namjua jamaa huyo anatumia kitunguu swaumu, mafuta ya zaituni na biblia vinginevyo sijui ila yule jamaa ni priceless lkn sijawahi kusikia kashindwa
Jamani huyu jamaa yupo wapi Nina shida nasumbuliwa jaman
 
Back
Top Bottom