Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

Mnyaa una nguvu za kiroho za kufukuza wachawi
 
Mungu wangu pole sana
 
Tumeamka salama kabisa.Hakuna cha homa wala nn.Mungu katuumbia miti na katika zimo dawa,miti ni roho kabla ujachuma jani la mti ni lzm uuombe mti,usipouomba dawa haifanyi kazi.
Sahihi kabisa[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
ni kweli,lkn itakuwa hasara sana,una vitu vingi kichwani ambavyo ni msaada kwa jamii..,maana mtu msifie akiwa bado yu hai,binafsi nakuheshimu kwa hilo big brother!
Ni kweli mku, Kuna wengine Wana Elimu kubwa lakini hazina msaada wowote kwa jamii. Inataka uwe na Moyo wa kutoa. Watu kama Mshana Jr Mungu huwapa zaidi kwa njia anazozijua yeye mwenyewe kwakua wana Moyo wa kutoa kwa wengine kile walichojaaliwa. Unaweza usimpe mtu pesa lakini ukampa elimu/ maarifa yakamfaa au kumuokoa, kama sio yeye basi ndugu yake. Kwa mfano elimu anazozitoa humu 'Mshana Jr' zikamuokoa hata yule mtu ambae ilimpasa aende India akatibiwe kama si kutapeliwa pesa zake na makanjanja wa mjini.
Mungu amzidishie zaidi[emoji120]
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1534]
 
Inashauriwa itumike kwa kiasi kidogo pia isitumike kwa mfululizo isizidi 7 kwa mfulilizo maana inaweza kudhuru baadhi ya organ kama moyo nk
 
Inashauriwa itumike kwa kiasi kidogo pia isitumike kwa mfululizo isizidi 7 kwa mfulilizo maana inaweza kudhuru baadhi ya organ kama moyo nk
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Iko hivi kila ukilala tafuna kipande cha kitunguu saumu halafu lala na kipande cha ndimu...vinaweza kufunuka vingi vilivyofunikwa kitambo...yaani ni sawa na kuamshwa kwenye usingizi mzito...jus give it a try
Kama hauna ndimu waweza tumia limao
 
Mr. Mshana naomba kidgo revelation juu ya hil
Iko hivi kila ukilala tafuna kipande cha kitunguu saumu halafu lala na kipande cha ndimu...vinaweza kufunuka vingi vilivyofunikwa kitambo...yaani ni sawa na kuamshwa kwenye usingizi mzito...jus give it a try
 
Kwa mtu mwenye matatiz ya vidonda vya tumbo e je anaruhusiwa kutafuna au kumeza direct Kama kidonge au Ni shart niziponde then nichanganye na asali na ndimu na maji Moto then hyo mixer ndio nitumie

Je asali Ni wanyuki wakubwa au wadogo
Natanguliza shkrani kwako
Mshana Jr
 
Vidonda vya tumbo na ndimu ndugu yangu hapana kabisa sikushauri kabisa.. Na kwa kitunguu pia usimeze direct bali tumia kwa kuponda na kuchanganya na asali yoyote túu
 
Hivyo vitu viwili ni catalyst nzuri kwa kukinga, kuzuia na kufubaza nguvu za giza
Asante kaka.....nimesoma umeandka kuwa mtu anaweza kufunuliwa ving vilovyokuwa vimefunikwa kitambo......ufafanuzi kdgo hapa mkuu
 
Asante kaka.....nimesoma umeandka kuwa mtu anaweza kufunuliwa ving vilovyokuwa vimefunikwa kitambo......ufafanuzi kdgo hapa mkuu
Yeah kuna mambo unaweza kuyaona kupitia mauzauza ama ndoto hasa ukiwa umelala ambayo kabla hukuwa na uwezo wa kuyaona
Kwa mfano kuona kuna mtu kaingia chumbani, ama kuna mtu anataka kufanya jambo baya mahali nk
 
Pia huongeza joto na kupunguza maji ukeni, kwa nyongeza zaidi hata tangawizi hupunguza cholestro na kuongeza joto mwilini , wanawake wenzangu mnao ambiwa mmekuwa wa baridi mara mna bwawa tumie kwa faida yenu na ndoa zenu
Lakini wanasema ukitumia Sana unakuwa mkavu sn unapatamichubuko kwenye sex
 
Vidonda vya tumbo na ndimu ndugu yangu hapana kabisa sikushauri kabisa.. Na kwa kitunguu pia usimeze direct bali tumia kwa kuponda na kuchanganya na asali yoyote túu
Dawa ya Amiba sugu kaka Mshanga za hospital zimefeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…